International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira.... GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa picha: Mazishi ya Wapalestina 3 waliouawa kwa kupigwa risasi na jeshi la Israel huko Jenin Duru za kimatibabu za Palestina zimesema kuwa kikosi maalumu cha Israel kimewaua Wapalestina watatu...
4 Reactions
91 Replies
5K Views
Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23 Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki.. Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Serikali ya Nigeria imesema Jumanne kwamba watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi sita na walimu watatu kutoka shule moja katika jimbo la Kusini Magharibi la Ekiti usiku wa Jumatatu, hii...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nadhani hii ndio strateji sahihi. Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Bila kwenda mbali kuhusu Historia ya mgogoro na vita inayoendelea sasa kati ya Israel na Hamas ukanda wa Gaza ni wazi Utawala wa Netanyahu umekosea pakubwa kimkakati katika hii vita. Kuanzisha...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha. “Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha...
49 Reactions
144 Replies
10K Views
Katika shambulio lilofanywa na drones huko Syria kutoka Islamic resistance katika kambi isiyo rasmi ya marekani limesababisha kuwauwa askari watatu wa Marekani kuwajeruhi zaidi ya 30. Rais Biden...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh... Sisi tunaona inatosha yeye...
8 Reactions
88 Replies
5K Views
Marekani kwa nafsi yake imepiga maeneo ya Yemen yanayotawaliwa na Houth mara 8 na kila mara husema wamepiga rada zao na pia kuyawahi makombora ya kuripulia meli yakitayarishwa kurushwa hewani...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Hiyo ndiyo meli ya mafuta yenye mafungamano na Uiengereza Martin Luanda ilivyoanza mara baada ya kupigwa na kombora kutoka kwa Houth Halafau vikosi vya wanamaji vya India vikaiona ikiendelea...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Lusaka, Zambia Picha maktaba : Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu na mkewe Jane Lusengo Shikapwasha . Bi. Jane Lusengo Shikapwasha umri miaka 73 (kulia ktk picha) ambaye ni mke wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duka la kwanza la kuuza Pombe kufunguliwa Saudi Arabia baada ya miaka 70 ya Maisha bila Pombe Duka hili ni maalum kwa wahamiaji wasio Waislam. Duka hili litakuwa mjini Riyadh. Source: Jambo TV...
21 Reactions
149 Replies
8K Views
Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Tajiri wa kwanza duniani Bw. Elon Musk ajitambulisha kama mtu mwenye asili ya Israel kama anavyo simulia hapa chini 👇 --- Elon Musk has reflected on his “Jewish roots” during his childhood in...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom