Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,639
- 15,970
Katika shambulio lilofanywa na drones huko Syria kutoka Islamic resistance katika kambi isiyo rasmi ya marekani limesababisha kuwauwa askari watatu wa Marekani kuwajeruhi zaidi ya 30.
Rais Biden na baadhi ya wabunge akiwemo spika wa bunge la marekani wamepatwa na ghadhabu sana hata kufikia hatua ya kutoa kauli za vitisho kwa Iran kuwa ndio chanzo . Mpaka sasa Iran haijasema lolote zaidi ya kushangaa mtu kapigwa Syria lawama zinaenda Iran.
Binafsi nadhani kwa sasa inatakiwa kuelewa kuwa haitakiwi tena kwenye maeneo hayo wafunge virago waondoke laa sivyo wataendelea kupata tabu sana.