Habari ndiyo hiyo, Uingereza haiwezi kutoka EU!
Na hilo linazidi kujidhihisha kila siku zinavyozidi kwenda, sasa wanasiasa wapya wa nchi hiyo chini ya Bi.Theresa May ambaye hata hivyo...
Hapa jamaa wamemaliza kila kitu!
Brexit to be followed by Grexit. Departugal. Italeave. Fruckoff. Czechout. Oustria. Finish. Slovlong. Latervia. Byegium, until EU reach the state of Germlonely."...
Leo tena kama ilivyokuwa wiki iliyopita kule Dallas, leo askari watatu wameuawa huko Baton Rouge.. Mmoja ya aliyeuawa ni askari mweusi anayefahamika kama Montrell Jackson. Huu ni ujumbe ambao...
Theresa Mary May alizaliwa 01 October 1956 ni mwanasiasa Mwingereza ambae ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Umoja wa Kifalme (the United Kingdom) na pia ni Kiongozi wa chama cha Conservative. Alikuwa...
Bara la africa limezindua rasmi cheti chake cha kusafiria.
Madhumuni ya umoja wa africa (AU) kuzindua cheti hicho ni kuvunja mipaka iliyowekwa na mkoloni alipoigawa Africa ili kuitawala katika...
Turkish officials say that nearly 8,000 police officers have been suspended on suspicion of having links to the coup attempt at the weekend.
Some 6,000 members of the judiciary and military...
Ethiopia’s tourism revenue jumped 20.7 percent in 2015 to a record high of $3.5 billion from $2.9 billion in the previous fiscal year lifted by increased number of foreign tourists visiting the...
The African Union agreed to use some cash paid to import goods to help raise $1.2 billion starting next year, reducing its reliance on donors such as the World Bank that provide about...
Two police shot dead when alleged religious radical attacks police station in Almaty
Gunfire has been heard in Almaty, Kazakhstan's largest city. Witnesses say an unknown gunman is running...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Kigali nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Africa( A U) akimwakilisha Rais wa Tanzania Dkt John...
Three police officers were killed after a gunfight in Baton Rouge, Louisiana on Sunday and three injured, one critically. The gunman was also killed, and police said they do not believe any other...
Morocco imetoa tamko la nia yake ya kutaka kujiunga tena katika umoja wa Afrika.
Katika ujumbe uliotumwa kutoka kwenye mkutano wa Umoja wa Matataifa ,mjini Kigali, Rwanda, Mfalme wa Morocco...
nimekutana na hii statistics mahali, je ni kweli hii?
Je, wazungu nao huuliwa na polisi bila sababu yoyote tu?
Naomba kuelimishwa zaidi.
Lugha za kinunda ziache feri..
Hii ni kauli ya DONALD TRUMP mgombea Urais US kupitia chama cha Republican kuhusu Afrika na Waafrika?,
“We need to get the Africans out, not the blacks, the AFRICANS!”. They are everywhere...
Attendees walk past a handful of placards during a break in the Methodists annual conference in Portland, Ore., in May 2016. The United Methodist Church, the nation's largest mainline Protestant...
Huwa nashindwa kuelewa ni kwa nini nchi karibia zote za Kiafrika sasa imekuwa kama fasheni kila mtu anasema mwaka fulani tutakuwa ,,middle income country" au nchi ya kipato cha kati, sasa...
Story highlights
The demand could foment a crisis in U.S.-Turkey relations
Washington (CNN)Less than 24 hours after surviving a military coup, Turkey's embattled President Recep Tayyip Erdogan...
Akisema kuwa sasa serikali ina udhibiti, Rais wa Uturuki, Recep Erdogan ameitaka Marekani kumkamata na kumrudisha nyumbani mhubiri wa kiislamu alie uhamishoni nchini Marekani, Erdogan anamtuhumu...
PEOPLE: DON'T BE SURPRISED IF THIS COMES TO PASS:
A. Pointers:
1. HONORABLE RETIRED PRESIDENT OF TANZANIA - ONE OF AFRICA'S MOST STABLE DEMOCRACIES
2. FORMER CHAIRPERSON - AFRICAN UNION
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.