Baton Rouge: 'Three US police officers shot'

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
Leo tena kama ilivyokuwa wiki iliyopita kule Dallas, leo askari watatu wameuawa huko Baton Rouge.. Mmoja ya aliyeuawa ni askari mweusi anayefahamika kama Montrell Jackson. Huu ni ujumbe ambao askari huyo aliuandika kwenye Account yake ya Facebook siku chache zilizopita. Rafiki yangu Nyani Ngabu anasema US hakuna ubaguzi..

CnmLEf_VMAAJgsh.jpg:large

Cnl41LWUkAE1T6_.jpg


Habari kamili hii hapa:

BATON ROUGE, La. (AP) — Three Baton Rouge law enforcement officers were killed and three others wounded Sunday, less than two weeks after a black man was shot and killed by police here in a confrontation that sparked nightly protests across the city that reverberated nationwide.

Police said the suspect was shot and killed at the scene. Authorities initially believed that two other assailants might be at large, but hours later said the dead gunman was the only person who fired at the officers.

However, a state police spokesman said investigators were unsure whether he had some kind of help from others.

"We are not ready to say he acted alone," Major Doug Cain said. Two people were detained in the nearby town of Addis. Cain called them "persons of interests."

The shooting — which took place just before 9 a.m., less than a mile from police headquarters — came amid escalating tensions across the country between the black community and police. The races of the suspect and the officers were not immediately known.

It was the fourth high-profile deadly encounter in the United States involving police over the past two weeks. The violence has left 12 people dead, including eight police officers, and sparked a national conversation over race and policing.

President Barack Obama said the slayings were attacks "on the rule of law and on civilized society, and they have to stop." He said there was no justification for violence against law enforcement and that the attacks are the work of cowards who speak for no one.



  • BBuqHH4.img
  • BBuqOKN.img
  • BBuqI1p.img
  • BBuqTJx.img
  • BBuqRmb.img

1/15 SLIDES © AP Images
Three police officers were shot dead and three others injured by armed suspects less than a mile from police headquarters in Baton Rouge, Louisiana, U.S. on July 17, 2016. According to reports, one of the suspects is dead and two other are believed to be at large. Police officials are looking for anyone in full black or a mask. The residents have been asked to keep away from the scene of crime. The incident is seen as a revenge for the Alton Sterling and Dallas shootings that happened earlier this month.

(Pictured) Police guard the emergency room entrance of the medical center where wounded officers were brought for treatment.

The exact circumstances of the attack were unclear, and authorities did not discuss the gunman's motive or any relationship to the wider police conflicts.
The shooting began at a gas station on Airline Highway. The suspect's body was next door, outside a fitness center. Police said they were using a specialized robot to check for explosives near the body.

A law enforcement official familiar with the investigation said the shooter was identified as Gavin Long but had no details. The official spoke on condition of anonymity because the official was not authorized to discuss an ongoing investigation.

Gov. John Bel Edwards rushed to the hospital where the shot officers were taken.

"There simply is no place for more violence," Edwards said. "That doesn't help anyone. It doesn't further the conversation. It doesn't address any injustice perceived or real. It is just an injustice in and of itself."

A witness told television station WAFB that he saw a masked man in black shorts and shirt running from the scene where the three officers were killed.

Brady Vancel said the man looked like a pedestrian running with a rifle in his hand, rather than someone trained to move with a rifle.

Vancel said he had gone to work on a flooring job near the gas station when he heard semi-automatic gunfire and perhaps a handgun. He saw a man in a red shirt lying in an empty parking lot and "another gunman running away as more shots were being fired back and forth from several guns."

On Sunday afternoon, more than a dozen police cars with lights flashing were massed near a commercial area of car dealerships and chain restaurants on the highway. Police armed with long guns stopped at least two vehicles driving away from the scene and checked their trunks.

BBuq8Cq.img
© Mark Wallheiser/Getty Images Baton Rouge shooting That area was about a quarter of a mile from a gas station, where almost nightly protests had been taking place.

Five officers were rushed to Our Lady of the Lake Regional Medical Center, hospital spokeswoman Ashley Mendoza said.

Of the two who survived the shooting, one was in critical condition and the other was in fair condition. Multiple police vehicles were stationed at the hospital, and a police officer with a long gun was blocking the parking lot at the emergency room.

One officer was sent to Baton Rouge General Medical Center and was being treated for non-life-threatening injuries, spokeswoman Meghan Parrish said.

Officers and deputies from the Baton Rouge Police Department and East Baton Rouge Sheriff's Office were involved, Hicks said.

Each of the officers was married and had a family, East Baton Rouge Parish Sheriff Sid Gautreaux said.

Police-community relations in Baton Rouge have been especially tense since the death of 37-year-old Alton Sterling, a black man killed by white officers July 5 after a scuffle at a convenience store. The killing was captured on widely circulated cellphone video.

It was followed a day later by the shooting death of another black man in Minnesota, whose girlfriend livestreamed the aftermath of his death on Facebook. The next day, a black gunman in Dallas opened fire on police at a protest about the police shootings, killing five officers and heightening tensions even further.

Thousands of people have protested Sterling's death, and Baton Rouge police arrested more than 200 demonstrators.

Sterling's nephew condemned the killing of the three officers.

Terrance Carter spoke Sunday to The Associated Press by telephone, saying the family just wants peace.

"My uncle wouldn't want this," Carter said. "He wasn't this type of man.

Michelle Rogers said Sunday the pastor at her church had led prayers Sunday for Sterling's family and police officers, asking members of the congregation to stand up if they knew an officer.

Rogers said an officer in the congregation hastily left the church near the end of the service, and a pastor announced that "something had happened."

"But he didn't say what. Then we started getting texts about officers down," she said.

Rogers and her husband drove near the scene, but were blocked at an intersection closed down by police.

"I can't explain what brought us here," she said. "We just said a prayer in the car for the families."
 
Ni vita down town Baton Rouge.

ad_213185912.jpg


Update:
Watu wawili wenye silaha ndio waliohusika kuwafyatulia risasi askari polisi na inasemwa mmoja wao ni mwenye matatizo ya akili. Bado kujulikana kama ni kitendo cha kigaidi au namna ya kuwasilisha ujumbe fulani.

Update: Baton Rouge ndipo alipouwawa mmarekani mweusi Alton Sterling.

Update:
Msemaji wa polisi Casey Rayborn Hicks kutoka kituo cha polisi cha East Baton Rouge Sheriff’s Office anasema eneo la Airline Highway limefungwa na watu watafute utaratibu mwingine wa usafiri.

Update:
Polisi wametanda eneo kubwa la Baton Rouge ambapo watu wenye silaha wanadaikiwa kuwa wamejificha.

Update
: Idadi ya askari waliokufa sasa ni watatu, na waliopigwa risasi ni saba.

3500.jpg


Askari polisi wawili wameuwawa baada ya kubadilishana risasi na kikundi cha watu katika mji wa baron Rouge.

Habari zaidi kuendelea kuja, lakini polisi wengine watatu wamejeruhiwa vibaya na hali zao si nzuri.
 
Jumatano iliyopita watu watatu walikamatwa baada ya kutokea wizi mkubwa kwenye duka la kubadilisha mali au "pawn shop" lililopo eneo hilo la Baton Rouge.

Mmoja wa watuhumiwa hao akadai kwamba kulikuwa na mpango pia wa kuiba silaha kwenye duka la silaha halafu kuzitumia silaha hizo kuwashambulia polisi katika kujibu mauaji ya polisi dhidi ya wamarekani weusi hapo Baton Rouge, mauaji ya Minessota na yale ya askari polisi watano kwenye jiji la Dallas.
 
Sasa naona weusi wameamua kuanza kuwawinda askari polisi wazungu. Hii ni hatari sana maana mahali popote pale kunaweza kukatokea mauaji ya polisi wazungu na wao si ajabu wanaweza sasa kutumia hii kitu 'nilihofia usalama wangu' kuongeza mauaji ya weusi wasio na hatia. Hali inazidi kuwa mbaya na hii Republicans wanaweza kuitumia vizuri sana katika kampeni za uchaguzi na hivyo kumshinda Hillary na kubaki na majority kwenye senate na congress.
 
Update: Kulikuwa na maandamano ya amani yaliyopangwa na wamarekani weusi katika kuadhimisha siku aliyouwawa kijana mweusi Alton Sterling.

Polisi kama kawaida yao wakawa wamejiandaa kwa magari na vifaa vya kukabiliana na ghasia.

Vijana wawili waafrika wamarekani ndio wakawa wamejichanganya na waandamanaji na ndipo walipoanza kurusha risasi kuelekea walipo polisi na mwisho polisi 3 wamekufa, wanne wapo mahututi na mmoja kati ya waliouwatupia risasi askari polisi ameuwawa, mmoja amekimbia na bado anatafutwa.
 
Polisi waache kuchukia "kijeshi" wawashughulikie polisi waliokiuka maadili ya kazi yao, tena wawe wakali kweli kweli ama laa sivyo. ........ Ishakuwa ya wenyewe kwa wenyewe.
 
ad_2131874921.jpg


Matatizo kati ya polisi wazungu na waafrika wamarekani yamezidi kukua na hasa baada ya Alton Sterling ambae alikuwa na miaka 37, kuuwawa na polisi mzungu baada ya kutokea purukushani kwenye duka au "convenience store".

Tukio hilo la kuuwawa kwa Sterling lilirekodiwa kwenye simu ya mkononi na kusambazwa mitandaoni.

Siku hizi kila mmarekani mweusi akionekana amezungukwa na askari polisi wazungu watu wanasema "kimenuka".
 
Things are falling apart in US....kwa jinsi ninavyoona, hali inaweza kuwa mbaya, kwani vita ya ubaguzi wa rangi ni ngumu sana kupata mshindi. Racial stereotype ni tatizo sugu huko US na nchi nyingi tu za ulaya...
 
Update: Kulikuwa na maandamano ya amani yaliyopangwa na wamarekani weusi katika kuadhimisha siku aliyouwawa kijana mweusi Alton Sterling.

Polisi kama kawaida yao wakawa wamejiandaa kwa magari na vifaa vya kukabiliana na ghasia.

Vijana wawili waafrika wamarekani ndio wakawa wamejichanganya na waandamanaji na ndipo walipoanza kurusha risasi kuelekea walipo polisi na mwisho polisi 3 wamekufa, wanne wapo mahututi na mmoja kati ya waliouwatupia risasi askari polisi ameuwawa, mmoja amekimbia na bado anatafutwa.
Tukiitwa manyani tumelaaniwa tunatoka povu.

Swala lilikuwa kuandamana kwa amani, mwingine anaenda kuua eti kulipa kisasi,huu usela nondo ndio tatizo la mtu mweusi sio rangi yake.
 
Tukiitwa manyani tumelaaniwa tunatoka povu.

Swala lilikuwa kuandamana kwa amani, mwingine anaenda kuua eti kulipa kisasi,huu usela nondo ndio tatizo la mtu mweusi sio rangi yake.

Ni hofu tu ndio inakusumbua kumuita mtu mweusi eti "nyani" na ni nani amewalaani watu weusi?

Usela nondo upo kila mahala duniani umefika Colombia, Jamaika au Guatemala uone wasela nondo?

Nimeeleza hapo kwamba "motive" inaonyesha ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Alton Sterling.

Ni hicho tu si kingine, maana polisi walifahamu kwamba kutakuwa na "confrontation" hivyo ilikuwa ni timing tu.

Ila wamarekani weusi si wajinga na hutumia wale walio na matatizo ili kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hii ni copycat crime. Wanaona solution ni kuuana but It's making things even worse. Halafu kuna suspect zaidi ya mmoja na walikuwa in uniform, just bad.
 
Things are falling apart in US....kwa jinsi ninavyoona, hali inaweza kuwa mbaya, kwani vita ya ubaguzi wa rangi ni ngumu sana kupata mshindi. Racial stereotype ni tatizo sugu huko US na nchi nyingi tu za ulaya...


Si nchi zote za Ulaya zenye matatizo kama hayo, mbona Uingereza ni nadra sana kutokea matatizo kama hayo!!
 
Ndio, walirusha risasi wapo walikuwa wawili lakini mambo kama haya huwa yanakwenda na supply chain au logistics kabisa kuhusu silaha, hivyo kuna watu wengi zaidi wamesambaa ambao walikuwa waki-keep eye on things or look out.

Polisi wameamua kutumia robot aingie eneo la tukio kuwatafuta mmojammoja.
 
Very true kui inatisha sana aisee. Sasa hivi weusi watazidi kuhofia maisha yao dhidi ya polisi wenye nia mbaya na watu weusi ambao mara nyingi huwa hawana hatia yoyote ile.

Hii ni copycat crime. Wanaona solution ni kuuana but It's making things even worse. Halafu kuna suspect zaidi ya mmoja na walikuwa in uniform, just bad.
 
Back
Top Bottom