Makamu wa Rais Samia Suluhu awasili Kigali Rwanda, tayari kwa mkutano wa AU

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
a99bbc6a89df7af5658e884cd3533c1c.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Kigali nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Africa( A U) akimwakilisha Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
 
kama sio umri nadhani anaandaliwa kuwa kama yule mgombea kule Marekani baada ya magu.
 
Ameenda kujaza nafasi tu na kuziba pengo la kutohudhuria mkutano huo.
Siamini kama kuna kizuri atarudi nacho kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Tanzania. Tumuache atalii. Maana ndo wakati wake.
 
oh how can Samia be so blind to the aspirations of the people of Zanzibar? Rest assured Zanzibar shall be free.
 
Magu anasema hasafiri kwa kuwa anapitia cv za wateule wake vizuri na kuteua watu makini, lakini baada ya muda mfupi tu anatengua teuzi za baadhi ya watu aliowapitia kwa umakini, angesafiri sijui kama asinge mteua sadam hussein kuwa muwekezaji walah.!
 
Back
Top Bottom