Huyu mgombea urais Donald Trump zinamtosha?

kaishebo

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
819
579
Hii ni kauli ya DONALD TRUMP mgombea Urais US kupitia chama cha Republican kuhusu Afrika na Waafrika?,
“We need to get the Africans out, not the blacks, the AFRICANS!”. They are everywhere. They’re in Houston taking our jobs. Why can’t they stay in their own country? Why? I’ll tell you why. They are corrupt. Their governments are so corrupt, they rob the people blind and bring it all here to spend. And their people run away and come down here and take our jobs! We can’t have that! If I become president, we’ll send them all home. We’ll build a wall at the Atlantic shore. Then maybe we’ll re-colonize them because obviously, they did not learn a damn thing from the British!”
"They take all our jobs, jobs meant for honest hard-working Americans and when we don’t give them the job, the Muslims blow us up.”

“These African Countries Will Leave United States of America Once I Win.

“Namibia, Cameroon, Gambia, Ghana, Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Mozambique, Nigeria, Papua New Guineas, Rwanda, Sierra Leone, Solomon Islands, South Africa, Swaziland, Tanzania, Uganda, Zambia.”
 
Hii ni kauli ya DONALD TRUMP mgombea Urais US kupitia chama cha Republican kuhusu Afrika na Waafrika,

Msiwe kama nyumbu, kila mnachokuta au kuambiwa mnabeba kama dodoki. Trump hajasema haya maneno. Fuatilieni kampeni zake kwenye twitter, facebook na youtube.
 
Tusijifarague, lipi ni geni hapa. Badala ya kuipokea changamoto anayotupa TRUMP tunaficha vichwa vyetu mchangani.
Wasomi wetu wanakimbilia ulaya sababu ya kutojaliwa na wanasiasa wetu hapa nyumbani, msomi anataka kufanya utafiti pesa hakuna, msomi anawazo zuri kitaaluma wanasiasa wanaliponda kwa kuhofia kumpatia umaarufu mtoa wazo, msoni anataka kwenda kufanya utafiti wanasiasa wanamuwekea kauzibe kwa kutomuwezesha. Kwa haya na mengine mengi utamlaumu nani kama sio viongozi wa kiafrika walafi na waroho. Yanayofanyika leo Zanzibar si ukosefu wa ustaarabu na bado tutamuona Trump mbaya. Leo hii tunawanyeyekea wazungu mpaka aibu, wanafikia hatua ya kufanya watakayo hapa kwetu kwa kusaidiwa na watawala wetu kwanini Trump asituone wajinga?
Tuipokee changamoto toka kwa Trump, ni mpayukaji ambaye hana unafiki, anasema kilichomo ndani yake ambacho ni uhalisia, na si hao wanaotusifia hata tunapoharibu kwa kuhofia wakitupa ukweli tutawakatia mirija yao waliyo idumbukiza huku kwetu wakichukua utajiri wetu na kuupeleka kwetu.
Mwacheni Trump ashinde urais Marekani ajenge hizo kuta anazosema halafu tushike adabu na vibakuli vyetu vya umatonya wakati tuna ng'ombe amabao hatujuwi kuwa ni mali. Wanagalie viongozi wa kiafrika wanavyomnyenyekea mchina na yeye anatufanya waafrikka daraja la kujinufaisha kwa kutufumba na misaada ya kilaghai.
Kwangu mimi Trump akiyatekeleza asemayo nayaona ni faida kwetu ili tusimame kwa miguu yetu, Magufuli ameyatambua haya ila namuomba aende mbali zaidi ili tuondoe utegemezi wa kiuchumi, kiutamaduni, kijamii na kifikra. Leo hii tumeacha kufundisha watoto wetu mdumange tunafundisha kucheza show, kucheza kwaito sijui na upuuzi mwingine mwingi tu.
Go Trump go.
 
Hii ni kauli ya DONALD TRUMP mgombea Urais US kupitia chama cha Republican kuhusu Afrika na Waafrika,
“We need to get the Africans out, not the blacks, the AFRICANS!”. They are everywhere. They’re in Houston taking our jobs. Why can’t they stay in their own country? Why? I’ll tell you why. They are corrupt. Their governments are so corrupt, they rob the people blind and bring it all here to spend. And their people run away and come down here and take our jobs! We can’t have that! If I become president, we’ll send them all home. We’ll build a wall at the Atlantic shore. Then maybe we’ll re-colonize them because obviously, they did not learn a damn thing from the British!”
"They take all our jobs, jobs meant for honest hard-working Americans and when we don’t give them the job, the Muslims blow us up.”

“These African Countries Will Leave United States of America Once I Win.

“Namibia, Cameroon, Gambia, Ghana, Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Mozambique, Nigeria, Papua New Guineas, Rwanda, Sierra Leone, Solomon Islands, South Africa, Swaziland, Tanzania, Uganda, Zambia.”
Awe amesema au hajasema ikifanyika hivyo ni bora,we unadhani waziri gani wa elimu ataboresha shule ya kata wakati mwanae anasoma kwa kina Trump? Au mkuu gani wa nchi ataboresha hospitali zetu za rufaa wakati tezi Dume anatibiwa Washington ,Trump shinda Urais Marekani akili itukae sawa!
 
Trump ..njo watii adamu ...kwanza
Nafikiri watu wengine humu hawana hoja kuandika wanaishia kuandika habari potofu wanaingiza na Zanzibar. Kumbuka kukiondoa chama tawala madarakani inabidi ufanye kazi ya ziada Amerika Raisi ni mama Clinton na Tanzania Magufuli na Zanzibar Shein

Upinzani Tanzania ulie tu hawatapata kuongoza hii nchi labda miaka million moja ijayo
 
47981ff7-7a50-43e3-ba51-28747479d788.jpg

do you mean this dummy ???
 
I wish awe ameyasema, wa afrika tumeshimdwa kujiongoza kila mnaemuona mzuri akipewa madaraka au kanafasi anakua shetani mara moja.
 
Nafikiri watu wengine humu hawana hoja kuandika wanaishia kuandika habari potofu wanaingiza na Zanzibar. Kumbuka kukiondoa chama tawala madarakani inabidi ufanye kazi ya ziada Amerika Raisi ni mama Clinton na Tanzania Magufuli na Zanzibar Shein

Upinzani Tanzania ulie tu hawatapata kuongoza hii nchi labda miaka million moja ijayo
Shabiki mnazi
 
Back
Top Bottom