Uingereza yahairisha kuondoka EU mpaka 2019

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Habari ndiyo hiyo, Uingereza haiwezi kutoka EU!
Na hilo linazidi kujidhihisha kila siku zinavyozidi kwenda, sasa wanasiasa wapya wa nchi hiyo chini ya Bi.Theresa May ambaye hata hivyo hajachaguliwa na raia wowote yule wa Uingereza wamesema kwamba nchi hiyo itaanza mchakato wa kujitoa EU siyo leo, wala kesho bali 2019, ndiyo 2019!

Say no to ,,African electronic Passport"!
 
Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,578

Mkuu, tuwekee hapa source ya taarifa hii....though huwa najiuliza, unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom