Houston: Msichana ampiga risasi mpenzi wake kwa bahati mbaya

0b801747c6a52d2d74df7b688ea7bc99.jpg
 
Wakiambiwa wasimiliki silaha hovyo Obama mbaya, mnafiki.. shauri yao.
 
Americans have a deeprooted gun culture. Masais in east africa too have a deeprooted stick and spear culture.
Why more gun fatalities in america than stick and spear fatalities in masai dominated areas?
 
Ngoja na mimi nifanye mpango wa kuirudisha bastola yangu, hizi taarifa sizipendi kabisa.
 
The Second Amendment of the United States Constitution reads: "A well regulated Militia, being necessary to the security of a free State, the right of the people to keep and bear Arms, shall not be infringed."
 
Rais Obama aliwatolea hao wamarekani machozi akitaka udhibiti wa silaha lakini wao wakavimba tu; haya.
 
Back
Top Bottom