2 police shot dead when alleged religious radical attacks police station

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Two police shot dead when alleged religious radical attacks police station in Almaty

Gunfire has been heard in Almaty, Kazakhstan's largest city. Witnesses say an unknown gunman is running around with a machine gun and has shot at least two people. At least one attacker has been detained, and two policemen were killed in the shootout, RIA Novosti reported, citing a security source.

Source: RT
 
Religion and race ni matatizo makuu ya usalama wa dunia kwa sasa.
  • Dini, ambayo ni kichaka kikuu cha ugaidi imeua maelfu ya binadamu wasio na hatia kwa miaka ya hivi karibuni kuanzia Middle East, Asia Minor, Europe, US, and Africa. Imagine dini ilivyomaliza watu Nigeria, Somalia, Egypt, Algeria, Mali, Mauritania, CAR, Uganda, Uarabuni, Ulaya, n.k. Dini badala ya kuwa msaada zianelekea kuwa mzigo kwa maisha ya binadamu.
  • Rangi: ubaguzi wa rangi nao ni tatizo linaloonekana kuibuka miaka ya karibuni kuanzia India, Ulaya, Italia, na sasa Marekani.
 
Mpuuzi wewe
 
Funguka zaidi ni dini gani hiyo inayoteketeza maisha ya watu.
 
Religion and race ni matatizo makuu ya usalama wa dunia kwa sasa.
  • Dini, ambayo ni kichaka kikuu cha ugaidi imeua maelfu ya binadamu wasio na hatia kwa miaka ya hivi karibuni kuanzia Middle East, Asia Minor, Europe, US, and Africa. Imagine dini ilivyomaliza watu Nigeria, Somalia, Egypt, Algeria, Mali, Mauritania, CAR, Uganda, Uarabuni, Ulaya, n.k. Dini badala ya kuwa msaada zianelekea kuwa mzigo kwa maisha ya binadamu.
  • Rangi: ubaguzi wa rangi nao ni tatizo linaloonekana kuibuka miaka ya karibuni kuanzia India, Ulaya, Italia, na sasa Marekani.

Good observation mkuu. badala ya dini kuwa kimbilio, imekuwa jinamizi la mauaji ya watu wasio na hatia....
 
Back
Top Bottom