International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

The tyrant, semi God being, self proclaimed life president, dictator Mr. Yahya Jammeh has accepted the will of people to prevail. Let the people made President elect Mr. Adama Barrow prove and...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Ndege iliyokuwa imewabeba wachezaji wa timu ya mpira kutoka nchini Brazil ambayo ilipata ajali nchini Colombia inasemekana kwa muujibu wa taarifa zilizovuja ndege hiyo iliishiwa mafuta kutoka...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mshindi wa tuzo ya Nobel mwenye asili ya Nigeria Wole Soyinka amesema Alhamisi kuwa ametimiza ahadi yake ya kutupilia mbali stakabadhi yake ya kuishi Marekani. Mshindi wa tuzo ya Nobel mwenye...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna uchaguzi leo Gambia na Rais aliyepo madarakani amezima intaneti na kuzuia simu kupigwa nje ya nchi kutoka nchini Gambia. Rais Yahya Jammeh ametawala taifa kwa kipindi cha miaka 22. Rais...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Mameya kutoka miji mikubwa duniani wamesema watapiga marufuku magari na malori yanayotumia mafuta ya Diesel katika miji yao ifikapo mwaka 2025 Viongozi hao kutoka miji ya Paris, Mexico City...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani CIA amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kwamba kusitisha makubaliano ya mpango wa nyuklia na Iran itakuwa ''hatari na upuuzi''. Katika...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Mteule wa Marekani Bwana Donald Trump ametoa ya moyoni baada ya shambulio la kigaidi lililofanywa na kijana Mkimbizi kutoka Somalia.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwandishi maarufu na mshindi ya tuzo ya Nobel raia wa Nigeria Wole Soyinka, ametimiza ahadi ya kuichana kadi ya Uraia wa Marekani(green card). Mwezi uliopta mshindi huyo wa tuzo la fasihi alisema...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia wake kwamba ataheshimu Katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika Uchaguzi mkuu ujao unaotegemewa kufanyika mwaka...
6 Reactions
87 Replies
12K Views
Rais wa Marekani bwana Donald Trump ametoa ramani ya ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani ili kuwathibiti Waamiaji kutoka nchini humo . Amesema ukuta uo utaanza kujengwa mapema...
8 Reactions
76 Replies
12K Views
Watu zaidi ya mia moja wamechinjwa na kuchomwa chomwa visu kwa sababu ya uhasama wa kikabila nchini Uganda na maiti zao kutelekezwa. Hapo juu hao wawili ni Raia wa uganda na waandishi Wa habari...
4 Reactions
97 Replies
13K Views
RABAT — Morocco accused African Union Commission head Nkosazana Dlamini-Zuma of blocking its efforts to rejoin the organization it left 32 years ago, the country's foreign ministry said on...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
A visitor looks a large picture of children victims of the 1994 Rwandan genocide on April 4, 2014 at the Genocide memorial in Nyamata, inside the Catholic church where thousands were slaughtered...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jimbo la Wisconsin, USA limekuwa la kwanza kuanza kuhesabu upya matokeo kura yaliyompa ushindi D.Trump, maelite wamejipanga kweli kweli kutengua Ushindi wa D.Trump! Kinachonishangaza wanayofanya...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Kuna kampeni imepamba moto ya kusaini waraka maalumu (petition) ya kuitaka Electoral Collage imchague Mama Clinton kuwa rais wa 45 wa marekani badala ya Trump. Kampeni hii imekolea zaidi baada ya...
16 Reactions
52 Replies
8K Views
UGANDA. Mfalme wa Rwenzururu Charles Wesley Mumbere amefunguliwa mashtaka ya mauaji, amerudishwa rumande mpaka Disemba 13 mpaka hapo kesi yake itakaposomwa tena. Mwendesha mashtaka amesema kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A senior aide to Burundi's president Pierre Nkurunziza was injured in an attack on Monday night that also killed one of his bodyguards, officials said. The International Criminal Court (ICC) says...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Baada ya kisa cha nabii mmoja kutoka nchini Afrika Kusini kuzua hofu juu ya afya ya waumini wake baada ya picha kusambaa akiwapulizia dawa ya kuulia wadudu, kisa kingine kimeibuka nchini Zimbabwe...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Mwanamume aliyewashambulia na kuwajeruhi watu 11 katia Chuo Kikuu cha Ohio ni asili a Kisomali na alikuwa mwanafunzi katika chuo hicho, maafisa nchini Marekani wanasema. Abdul Razak Ali Artan...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom