Wakati wa kuapishwa kwa Trump picha hii inaonyesha box toka kwa mke wa Trump kwenda kwa mke wa Obama. Mpaka Leo box hili halijafahamika lilikuwa na nn. Labda wabobezi wa Siasa na Itifaki wanaweza kutuambia box lile lilihusu nini?
Picha inaonyesha Mke wa Obama hakutegemea kupokea box Hilo.
Watch: 'Did She Give the Notes From Her Speech Back?' Melania Trump Hands Michelle Obama a Gift and Twitter Went In on the Awkward Exchange
Kinachonifurahisha ni Role/wajibu alofanya Obama baada ya kuona mke wake kiasi alipanic baada ya kupokea box Hilo.