Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,793
- 32,643
Mzuka sana wanajamvi!
Rais mteuliwa wa Gambia Adama Barrow alikuwa mbeba box Uingereza had 2006 aliporudi nyumbani baada ya kupata mtaji nakuanzisha real estate business. Alikuwa mlinzi na kufanya kazi za usafi na shabiki mkubwa wa Asernal. Imefahamika ya kuwa alikuwa mweledi na muamifu sana katika kazi yake ya ulinzi ambapo aliwakamata wezi wengi sana na kuwafikisha kwenye Vyombo vya sheria.
Ameahidi akianza urais kesho ataipa mahakama uhuru na nguvu judiciary freedom pia uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya Habari. Barrow ambaye ni Lowassa wa Gambia na kipenzi Chao alimpoteza kijana wake wa miaka 5 juzi kwa kung'atwa na mbwa. Hakuweza kuhudhuria mazishi yake kwa ajili ya usalama wake. Ila wagambia wengi kwenye profile zao za fb wameweka picha za huyo dogo.
Marais wengine Africa waliobeba boksi mtoni ni Hayati Michael Sata 'king cobra' wa Zambia na Museveni wa Uganda. Sata alikuwa anafagia na kusafisha train station London, alikuwa muadilifu mtunza muda na mchapakazi. Museveni naye alivyoseek asylum Sweden miaka ya nyuma alibeba boksi.
Pia Mimi labda huenda nikawa rais wenu 2035 tuombeane uzima tu you never know!
Mbeba boksi mashuhiri JF
Self declared,
PhD holder!