Former Gambian President Turned Rebel To Appoint A New Cabinet!'

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Taarifa kutoka nchini Gambia zinaeleza kuwa Yahya Jammeh amevunja Baraza la Mawaziri waliosalia na kuwa shughuli zote atazisimamia yeye.

======
Hours after President Adama Barrow, took his oath of office and allegiance, in the Senegalese capital Dakar, former Gambian President now turned rebel Yahya Jammeh, issued a press release announcing that he is about to appoint a new cabinet, the Freedom Newspaper can reveal. Mr. Jammeh, who thanked his former cabinet for their services to …
 
Ila ni aibu kwa Barrow kuapishwa nje ya nchi yake,ni aibu kubwa.
....Aibu kubwa ni kwa huyo king'ang'anizi wa madaraka anayetaka kuendelea kutawala hata baada ya wananchi wake kumkataa; mkuu wake wa majeshi kumkataa; makamu wake wa rais kumkimbia...Kama alivyowahi kusema the late Mwl Nyerere hakuna kilevi kibaya kama kulewa madaraka....hatari sanaa...
 
Power corrupts and absolute power corrupts absolutely. Jamaa ameingia madarakani akiwa kijana mdogo sana sasa akiachia madaraka atafanya kazi gani?

The box doesnot decide the ruller,hata Marekani wamethibitisha hilo.

Barrow kwa heshima ya nchi yake,angesubiri awe nchini mwake ili aapishwe na sio kuapishwa nje ya nchi,hii ni aibu.
 
Mke wake mwenyewe amekimbilia Senegal pamoja na Watoto halafu mke ana miaka 17 sasa huko ni kuoa wanafunzi kabisa
 
Na usisahau Yahhaya J ni mwanamapinduzi aka mwanajeshi aliepindua serikali,mke wake sio mwanajeshi na wala hajawahi ingia jeshini.

Suala la umri ni suala la properganda tu,anything can be said ili kublackmail the situation.
 
Power corrupts and absolute power corrupts absolutely. Jamaa ameingia madarakani akiwa kijana mdogo sana sasa akiachia madaraka atafanya kazi gani?

The box doesnot decide the ruller,hata Marekani wamethibitisha hilo.

Barrow kwa heshima ya nchi yake,angesubiri awe nchini mwake ili aapishwe na sio kuapishwa nje ya nchi,hii ni aibu.
Kaapishwa ubalozi wa Gambia uliopo Senegal sasa ubalozi si nchi tatizo nn ww?
 
Ila ni aibu kwa Barrow kuapishwa nje ya nchi yake,ni aibu kubwa.
Mwenzako anafaudu mabibi wawili kwa mpigo.
C2lyUQLUAAAa1kJ.jpg:large
 
Back
Top Bottom