Hongera Adama Barrow

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Je Tanzania inasababu zakukaa kimya na kutotangaza au kumpongeza Adama Barrow rais mpya Gambia? Kuna maswali mengi ya kizushi ya kujiuliza.

Tanzania imekaa kimya bila kumpongeza Adama Barrow kisa ni mpinzani? Au haikuwa na sababu ya kupongeza ama kutopongeza?

My take:
Mabadiliko sasa ni sehemu ya kawaida duniani na Afrika kiujumla. Ni vyema tukajifunza kwa Amerika na Gambia.
 
Je Tanzania ina sababu za kukaa kimya na kutotangaza au kumpongeza Adama Barrow rais mpya Gambia? Kuna maswali mengi ya kizushi ya kujiuliza.

Tanzania imekaa kimya bila kumpongeza Adama Barrow kisa ni mpinzani? Au haikuwa na sababu ya kupongeza ama kutopongeza?

My take:
Mabadiliko sasa ni sehemu ya kawaida duniani na Afrika kiujumla. Ni vyema tukajifunza kwa Amerika na Gambia.
Mhhh

Huyo ameapishwa ikulu ya nchi jirani , kule kwao yule nani sijui rais alekaa madarakani bado hajaatoka ikulu Ecowas wanapeleka majeshi.
 
Mhhh

Huyo ameapishwa ikulu ya nchi jirani , kule kwao yule nani sijui rais alekaa madarakani bado hajaatoka ikulu Ecowas wanapeleka majeshi.
Yahya jameh ashaachia kiti mkuu

No way out
 
Adama Barrow ameapishwa lakini bado anaogopa kurejea nchini mwake eti mpaka Jammeh aondoke.

Hilo moja, pili ni kukubaliana kumuachia huru na kumruhusu akaishi nchi anayotaka mtu ambaye tayari angeliingiza taifa ktk machafuko.

Nimefuatilia comments za waGambia wamekerwa na hayo
 
Back
Top Bottom