Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kufuatia Rais wa zamani wa Gambia Bwana Jammeh kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa kwenye Uchaguzi,MKUU WA majeshi Gambia ameonesha au amefanya jambo la kuigwa sana Afrika na Duniani baada ya kukataa kumpa suport Bwana jameh ili ni jambo la kuigwa sana kwani viongozi wengi wa Afrika wanategemea majeshi yao yawaunge mkono katika kubaki madarakani,nampongeza sana Kamanda uyu wa GAMBIA NA ANASTAHILI APEWE TUZO YA NOBEL kwa kuheshimu maamuzi ya Wananchi kwani Viongozi wengi wa Afrika wanatumia vyombo vya usalama ku deploy au kukandamiza Demokrasia