Nimesikia watu wanapiga kelele kwa vitu vidogo vya kufikirika. Wengine wanasema clinton ana sera. Leo mnasifia kesho mnakuja na pyoyo kwamba hamtaki wamarekani wawalazimishe mambo kadhaa.
-Kwa...
Raia wa Cuba walioko uhamishoni Miami, ambao walisubiri kwa hamu kumalizika kwa utawla wa Muda mrefu wa Fidel Castro, wameimba na kucheza densi kwa shangwe kufuatia kifo chake licha ya mvua...
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.
Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they...
Habari za sasa wanaJF.
Ni matumaini yenu harakati za kimaisha zinaendelea kama kawaida.
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na picha nyingi za marehemu hugo chavez rais za venezuela na...
"He stressed that upon his arrival to Rwanda, Dr. Munyakazi was safe and sound, a man full of humor and passion, a man anyone could tell from his conversations that he really is intellectual."
In...
Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya...
Kuna mashaka mapya kuwa Katika Majimbo kadhaa mfumo wa kuhesabu kura uliingiliwa. Na pia Hilary Clinton Kila kukicha wakiendelea kuhesabu kura za makaratasi na zile zilizopigwa na wasiokuwepo...
Hebu oneni huu upuuzi wa Black Friday...
Kwa wasiojua, Black Friday ni ile Ijumaa baada ya sikukuu ya Thanksgiving ambapo maduka mengi sana huwa na mapunguzo makubwa ya bei ya bidhaa mbalimbali...
Wakili mwenye umri wa miaka 23 amepewa jukumu la kuongoza shirika la Ukraine linaloshugulikia maswala ya ulaji wa rushwa.
Huu ni uteuzi wa pili mkubwa kwa wanamke kuteuliwa kwa wiki za hivi...
In Zimbabwe, where worthless $100 trillion notes serve as reminders of the perils of hyperinflation, President Robert Mugabe is printing a new currency that jeopardises not just the economy but...
At least 36 people were killed and 95 injured when two Iranian passenger trains collided near the city of Shahroud, about 400 km (250 miles) east of Tehran, state television reported. It said the...
Marubani katika meli ya jeshi ya kirusi inayoitwa Admiral Kuznetsov wakifanya mazoezi ya kupaa na kutua katika uwanja wa meli hiyo karibu na mwambao wa uingereza wakati ikiwa katika safari ya...
Ni ajabu ba kweli mwana JF.
Nchini Libya kima mmoja wa kufugwa alimshambulia binti mdogo. Familia ya binti huyo ikaamua kulipiza kisasi kwa familia iiyofuga huyo kima. Waliua watoto 3 pamoja na...
Vyombo vya usalama vya Iraq vimesema kwamba zaidi ya watu themanini wameuawa kwa shambulizi la bomu lililowalenga madhehebu ya kiislamu ya kishia kusini mwa mji wa Baghdad.
Gari lililokuwa...
Nikki Haley alikuwa mkosoaji mkubwa wa Donald Trump wakati wa kampeni yake.
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemchagua gavana wa Carolina kusini, Nikki Haley, kuwa balozi mpya wa Marekani...
Mfumo wa kibepari ni kushangaza sana.Marekani kuna jela za kufungia wahalifu ambazo ni mali za watu binafsi ila zinaingia mkataba na Jimbo husika kua litapokea watuhumiwa wanao hukumiwa vifungo...
Haya ndiyo maneno ya Ben Carson, ambaye kwa kifupi amesema amekubali kujiunga na Utawala wa D.Trump kuirudisha USA mikononi mwa Mungu kutoka kwa Wapinga Kristo Obama, Clintons &Co. !
,,Winning...
MAREKANI: Jopo la Wataalamu wa TEHAMA baada ya uchunguzi ladai Hillary Clinton aliibiwa kura na Wadukuzi ktk Majimbo matatu muhimu.
Wataaamu hao wamedai kuwa Wadukuzi hao waliiba kura katika...
Kama ilivyo kila wakati Rais mpya anapoingia madarakani huko Marekani hupewa masharti ya kiusalama ambayo ni LAZIMA ayazingatie.
Rais mteule Donald Trump amekatazwa na wataalamu wa kiusalama wa...
Sudani Kusini ndani ya Sudani ilikuwa na hadhi, raha na amani kuliko ilivyo sasa nje ya Sudani. Kutokana na mafuta yao Sudani Kusini ilidanganywa na wanyang'anyi ili wajitenge na Sudani ili waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.