Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Jullian Assange anatafutwa na USA kwa kosa la kuvujisha siri za USA na USA wamezitaka nchi zote marafiki zimkamate na kumpeleka USA kushitakiwa, mpaka leo hii J.Assange yuko nchini Uingereza lkn ameomba hifadhi kwenye Ubalozi wa nchi ya Ecuador ulioko nchini Uingereza!
Sasa swali langu kwenu, ni kwa nini Nchi ya Uingereza haivamii Ubalozi wa Ecuador na kumchukua J.assange kwa nguvu kumpeleka USA? Ikumbukwe kwamba J.Assange akitoka tu nje ya Ubolozi wa Ecuador hapo Uingereza, anakamtwa na Askari wa Uingereza na kupelekwa USA, sasa kwa nini Uingereza isivamie Ubalozi wa Ecuador?
Jibu ni rahisi, International law ambayo nchi ya Uingereza inaheshimu kwa maana wanajua kama wakikiuka hata wao iko siku itakuja kuwarudi, Ecuador ni nchi huru, (sovereign state) hivyo inastahili heshima!
Lakini kwetu Afrika hakuna mtu anaheshimu International law ni rule of the jungle, mwenye nguvu anavamia nchi ndogo ili kushinikiza matakwa yake na kukanyaga Internationa law, halafu tunachekelea bila kutambua ya kwamba ni swala la muda tu kabla na sisi hatujawa victim wa kukanyaga na kudharau International law, kuna sababu kwa nini kuna International law, ambayo inatambua haki ya nchi kuwa huru na kuamua mambo yake, na uchaguzi ni mambo ya ndani ya nchi huru!
Kwa nini Wazungu hawavamii Ubalozi na kumchukuwa J.Assange kwa nguvu? Ina maana huyu angekuwa yuko Afrika tungetuma Jeshi kuvamia na kumtoa kwa nguvu?
Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza ambapo J.Assange yumo ndani, Askari wakisubiri atoke wamkamte, kwa nini hawavamii kama Waafrika?!