International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Breaking news: Attorney General Jeff Sessions will recuse himself from any probe related to the 2016 presidential campaign. Attorney General Jeff Sessions will recuse himself from any...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Safari ya ndege kutoka uwanja wa Heathrow hadi San Francisco, ilichelewa kwa saa kadhaa baada ya panya kuonekana ndani ya ndege. Abiria waliokuwa wakisafiri kwa ndege hiyo ya shirika la...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaam, Kuna huyu mzee anaitwa Vitaly Churkin kama mtu anapenda kufuatilia sana UNSC (United Nations Security Council) Sessions unaweza kuwa unamfahamu vizuri. Amefariki leo dunia ambapo...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanasheria mkuu wa Donald Trump amehutumiwa kuwa alifanya mawasiliano na balozi wa urusi wakati wa kampeni. Hivyo ameombwa kujiweka pembeni ili uchunguzi dhidi yake ufanyike. Je ,hapa kwetu nani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
STRANGE IMAGES APPEAR IN THE SKY IN KITWE There was drama today in Kitwe at mukuba mall when a strange image that look like a human appeared in the clouds. According to eye witnesses say the...
3 Reactions
20 Replies
12K Views
DR CONGO: Watu watano akiwemo Mtanzania mmoja wametekwa nyara na wapiganaji wenye silaha za moto walipokuwa katika mgodi wa Banro. Mmoja wa maafisa wa Mgodi huo amethibitisha kuwa msako mkali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uganda imetajwa kuwa nchi yenye raia wanaozungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha barani Afrika Utafiti uliofanywa na Shirika la Lugha duniani World Linguistic Society umesema Uganda inaongoza...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Katika hotuba yake ya juzi na waandishi wa habari nimepata vitu ishirini ambavyo hutavisika kwenye vyombo vya habari. 1. Amezungumzia hili jambo zima la yeye kuhusishwa na urusi ni njama...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Mutumishi wa umma alizikwa na zaidi ya Sh200 milioni za Uganda (Sh5.7 milioni za Kenya) ili akamhonge Mungu asipewe hukumu kali atakapokutana na muumba wake Bw. Charles Obong mwenye umri wa...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Mwanasheria mkuu nchini Marekani jenerali Jeff Sessions alikutana na balozi wa Urusi wakati wa uchaguzi licha ya kuthibitisha kuwa hakufanya mawasiliano yoyote na Urusi. Idara ya haki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huko Afrika Kusini katika kisa cha kushangaza mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mildred Mashego na binti yake, Patricia Mashego wa miaka 19, walitungwa mimba na mwanamume mmoja na wamejifungua...
5 Reactions
87 Replies
63K Views
Muuguzi raia wa Liberia Salome Karwah ni baadhi ya wale waliotajwa na jarida la Time magazine kuwa mtu bora wa mwaka, mwaka 2014 baada ya kushiriki katika vita dhidi ya ugonjwa wa Ebola Alifariki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama ya Zimbabwe imepiga marufuku adhabu ya kuwachapa watoto shuleni na hata nyumbani . Uamuzi huo unajiri baada ya mzazi mmoja kulalamika kwamba mwanawe katika darasa la kwanza alikuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
China to build 30,000 new kilometers of railway before 2020 The total mileage of China's domestic railway system is expected to grow by 30,000 kilometers before 2020, according to the country's...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mh. Nape kazi ya kupambana na wauza madawa ni kazi ngumu. Inahitaji kujitoa kwa 100% Kwa ufupi, Nchi ya ufilipino kupitia mamlaka zao iliamrishwa wauza madawa/watumiaji wajisajili [Sawa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ripoti kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab, iliyo kaskazini mashariki mwa Kenya, inasema kuwa walimu wawili raia wa Kenya wametekwa nyara. Walimu hao walivamiwa manyumbani mwao na watu wenye...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Waziri mkuu wa Lesotho Pakalitha Mosisili Waziri Mkuu wa Lesotho Pakalitha Mosisili amepigiwa kura ya kutokua na imani naye na bunge la nchi. Kufuatia hatu hio, bunge la taifa litavunjwa na...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Rais Mohamed Abdullahi Farmajo wa Somalia ametangaza janga la njaa lililoikumba nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kuwa ni maafa ya taifa. Katika taarifa iliyotolewa jana na Ikulu ya Somalia, Rais...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Asema wazi kwamba yeye ni mjumbe wa Marekani...basi, mengine mtajijua tena hana muda huo. Donald Trump’s claim that it isn’t his job “to represent the world” drew very little love from...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nchini Swaziland, Idara ya Safari za Anga imebaini kuwepo athari nyingi zinazosababishwa kwa vyombo vya usafiri angani kuingiliwa na safari za wachawi wanaorandaranda angani. Kwa sababu hiyo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom