Waziri Nape soma hii makala kuhusu uwazi wa kupambana na wauza madawa

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,493
13,554
Mh. Nape kazi ya kupambana na wauza madawa ni kazi ngumu.

Inahitaji kujitoa kwa 100%

Kwa ufupi, Nchi ya ufilipino kupitia mamlaka zao iliamrishwa wauza madawa/watumiaji wajisajili [Sawa na alivyofanya Makonda]. Na wakala kiapo wasirudie tena kutumia madawa. Ila ukirudia risasi ni haki yako.

'I buried my son in the grave that was meant for me'


Soma zaidi hiyo link hapo juu kwa habari.
 
Back
Top Bottom