Trump asisitiza kwamba yeye sio mjumbe wa dunia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,410
Asema wazi kwamba yeye ni mjumbe wa Marekani...basi, mengine mtajijua tena hana muda huo.

Donald Trump’s claim that it isn’t his job “to represent the world” drew very little love from congressional Democrats during his joint session address Tuesday night.

“Free nations are the best vehicle for expressing the will of the people, and America respects the right of all nations to chart their own path,” POTUS stated.

“My job is not to represent the world,” he added. “My job is to represent the United States of America.”

While Trump’s statement drew a round of applause from the Republican side of the room, no more than a handful of Democrats rose to their feet to cheer.

Read more: Democrats Were Visible Angry When Trump Said This During His Congressional Address [VIDEO]
 
kama ni hivi safi sana na atoe misada yote hasa hizi nchi za afrika kila mtu ajijue mwenyewe na kupunguza utegemezi.
 
Nimependa kasema atapunguza pesa za misaada ya nje, sitaki kuamini USAID global inapoanza kupunguza watumishi na mashirika yao mengine

Ila pia viongozi wa afrika waamke wajue no free lunch anymore
 
Hivi kama nchi ina tengeneza magari mengi sana na mnunuzi mkubwa wa bidhaa zao ni wewe - ila una tatizo kubwa la barabara, basi mwenye magari akaona ubovu wa barabara unaweza kusababisha usinunue magari yake, akaamua kukupa msaada wa kujenga barabara ILI UENDELEE Kuwa MTEJA wa BIDHAA Zake - JE, HUO NI MSAADA UNAOPASWA KUZUIWA ??
 
Unamawazo ya kimaskini sana
 
Huo ulikuwa ni mtazamo wa zaman ila katika kipind hiki cha globalization mambo yamekuwa tofaut sana
Soko linakuwa kwa taarifa
Na siku zote watu wote duniani wanapenda vitu vizur ukiwa na wewe mchangiaji,
Bidhaa yako kama inaushindan ktk soko walaji watakula tuu, mfano nchi yetu tunatumia sana magar ya japan ila wenye pesa watataman gar za ulaya na marekan kwa sifa zake.
Mfano Apple wakizindua simu mpya iphone na Tecno wakazindua simu mpya unafikir mlaji atataka nin kat ya hizo.
Dunia ya sasa imebadilika sio kama zaman, watakunyima msaada na mkopo ila bado bidhaa zao utanunua kutokana na kusambaa kwa taarifa na kuongezeka kwa vipato kwa watu japo kwetu sasa ni tia maji.
 
Una akili sana nimejifunza kitu hapa
 
Kuna mambo mengi huyafahamu kwenye huo ulimwengu wa Mikopo na misaada - Jifunze tu jambo dogo kwenye Tender za ujenzi wa reli ya SG Tanzania na Kenya - Wanaotoa msaada au mikopo wanaweka pia na masharti ya kupewa hizo tender na wakati mwingine na ajira kwa watu wao
 
Sawa nakubaliana nawe sana
Ila swali lakujiuliza ni nan anamuitaji zaid mwenzio
Jibu ni sis tunawaitaji zaid ndio maana wanatuwekea conditional nying na tutakubaliana nazo.
Hoja ili kuwa kama marekan ataacha kutowa misaada basi bidhaa zake zitakosa soko
Nam nikasema kwa ulimwengu wa sasa wa utandawazi soko linaongozwa na mlaji na kila mlaji anapenda kula kizur
So kizur kitajiuza tuuu.
Jiulize kwanin china wamezuia google apps
 
Sasa kama hawaoni umuhimu wa soko, hiyo EPA wanayobembeleza tusaini ni ya kazi gani ?
 
Back
Top Bottom