radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Huko Afrika Kusini katika kisa cha kushangaza mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mildred Mashego na binti yake, Patricia Mashego wa miaka 19, walitungwa mimba na mwanamume mmoja na wamejifungua kwa tofauti ya siku nne. Mpenzi wa mama huyo kumbe alikuwa akilala na binti yake kisiri. Hata hivyo, baada ya watoto hao kuzaliwa mama ameamua kumsamehe binti yake kwa sababu ya mjukuu.