radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Nchini Swaziland, Idara ya Safari za Anga imebaini kuwepo athari nyingi zinazosababishwa kwa vyombo vya usafiri angani kuingiliwa na safari za wachawi wanaorandaranda angani.
Kwa sababu hiyo, serikali imetoa tamko kupitia afisa wake, Sabelo Dlamini kwa kupiga marufuku wachawi wote wanaotumia anga ya nchi hiyo wasiruke zaidi ya mita 150 angani.
Tangazo la serikali linaungwa mkono na wabunge wengi wa nchi hiyo na linalenga kuepusha ajali za vyombo vya anga zinazoweza kusababishwa na muingiliano wa mawasiliano ya wachawi na mitambo ya kuongozea safari za anga.