Hakutatokea Vita kati ya US na RUSSIA, bali ISIS itapata Nguvu Maradufu...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Nimesikitishwa na maamuzi ya Trump kuwa kigeugeu na kuanza kuishambulia Syria. Hali hii itasababisha makundi ya waasi ambayo hakuna mtu duniani anaehariri utendaji kazi wao na nini dhumuni lao wakipata nguvu. Ukiacha hawa ISIS watakuwa wanachekelea maana sasa ni wakati wao wa kujitanua.

Baada ya kuidhoofisha syria kabisa, Nani atakuwa anawajibika na usalama wa nchi hii?

“AGAIN, TO OUR VERY FOOLISH LEADER, DO NOT ATTACK SYRIA - IF YOU DO MANY VERY BAD THINGS WILL HAPPEN & FROM THAT FIGHT THE U.S. GETS NOTHING!,”
Hii ni moja ya kauli ya trump akimchimba mkwara Obama.

Kwa mtazamo wangu US,ISRAEL na RUSSIA wawawezi kuleta vita ila hofu inaweza kutanda na kuwa ya kiwango cha juu sana lakini sioni vita. Sababu ni moja tu madhara ya Vita hivyo yatakuwa ni makubwa tangu dunia iumbwe na hakuna mtu duniani yuko tayari kwa hiyo gharama.
 
Back
Top Bottom