Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
Nimemsikia Rais wa Colombia akisema atawajengea wananchi wake nyumba waliopatwa na maafa ya maporomoko ya udongo. Vile vile kwa sasa atawapa kila mtu dollar 87 kwa mwezi kama kodi ya pango. Sisi hapa tuliambiwa hakuna serikali duniani inayo wajengea nyumba wananchi wake.
Unajua mkuu kasahau kuwa huu ni wakati wa utandawazi tunaweza kujua kitu chochote kinachotoke duniani kokote mara moja. Aache kutudanganya, tunaakili na ufahamu wakujua kila kitu.
Unajua mkuu kasahau kuwa huu ni wakati wa utandawazi tunaweza kujua kitu chochote kinachotoke duniani kokote mara moja. Aache kutudanganya, tunaakili na ufahamu wakujua kila kitu.