International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwangu mimi naona mafunzo makuu mawili. 1. Ni Fundisho tunalopewa na aliyekuwa akikaimu uanasheria mkuu kuwa kama mtumishi unayetumia taaluma hutakiwi kufuata kila agizo linalotoka juu yako hata...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
kui
2 Reactions
6 Replies
994 Views
Katika kuonyesha kuwa hana utani katika suala la wakimbizi, Trump leo ammemwagia upupu Waziri Mkuu wa Australia ambaye alipendekeza kutekeleza mkataba wa kuwapeleka wakimbizi waliopo Australia...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Lebanon imefanikiwa kuangamiza mtandao wa kigaidi wa shirika la kijasusi la Mossad la utawala wa Kizayuni wa Israel. Idara Kuu ya Usalama wa Umma Lebanon Alhamisi ilitangaza kuwa imefanikiwa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kutuma vikosi vya jeshi la nchi hiyo nchini Mexico. Shirika la habari la Associated Press, limevujisha sehemu ya mazungumzo ya simu kati ya Trump na Rais wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuwait issues its own Trump-esque visa ban for five Muslim-majority countries Kuwait first placed a blanket ban on new visas for Syrians in 2011, but those already in the country were allowed to...
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Habari zilizotufikia hivi punde na kuthibitishwa na vyanzo vya FikraPevu.com, zinasema kwamba Kiongozi wa Upinzani nchini DRC amefariki dunia. Timu yetu inaendelea na ufuatiliaji wa taarifa za...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Nakala zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zinaonyesha kuwa Makamu wa Rais nchini Kenya William Ruto, anashtakiwa kwa kushindwa kuchangia malezi ya mtoto Nakala hizo zinasema kuwa Bwana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Gambia's new President Adama Barrow has removed "Islamic" from the official name of his country pledging more reforms in the tiny West African nation. In his first press conference since...
10 Reactions
108 Replies
10K Views
Cotonou, Benin. Waumini watano wanaotambulika chini ya mwamvuli wa imani ya Voodoo nchini Benin wamefariki dunia baada ya kuamuliwa kukaa kwenye chumba maalumu na kufanya maombi wakisubiri mwisho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uamuzi wa Donald Trump kupiga marufuku wahamiaji wa kiislamu kutoka kwenye nchi zenye raia wengi wa dini hiyo, umesababisha hasira kuu duniani kote na wahamiaji wakikataliwa kupanda ndege kuingia...
5 Reactions
331 Replies
36K Views
A Romanian cabinet minister resigned on Thursday over a government decree that could effectively amnesty dozens of officials accused of corruption, a move that has triggered countrywide protests...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Wafanyakazi watano wa Umoja wa Mataifa wameuawa katika mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana katika mpaka wa Cameroon na Nigeria. ======== An armed group attacked a U.N. technical team...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Facebook is quickly closing in on the two billion user mark. The social network had 1.86 billion monthly active users as of the end of 2016, up from 1.79 billion the previous quarter and 1.59...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Nadhani Trump na timu yake wananikumbusha viherehere vya baadhi ya mashabiki waliokua wanaimba huu wimbo Jamaa ni mbabe kuliko Mwimbishaji wa CCM. Sasa waliokuwa wanamshangilia nadhani wanalia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Baraza la muungano wa Ulaya Donald Tusk ameonya kwamba maamuzi ya kutia wasiwasi yanayofanywa na Donad Trump ni miongoni mwa changamoto zinazokumba muungano huo. Amesema kuwa mabadiliko...
2 Reactions
0 Replies
868 Views
Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa kiisrael wa Haaretz Tel Aviv Declared World's Best Gay Travel Destination In a world-wide survey hosted GayCities.com and American Airlines, 43 percent of voters...
2 Reactions
136 Replies
24K Views
AFRIKA KUSINI: Wagonjwa wa akili 94 walifariki kwa uzembe wa mamlaka mwaka 2016. Walihamishiwa katika vituo visivyokuwa na leseni. Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa jijini Johannesburg inaeleza...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Rais Donald Trump amemteua Neil Gorsuch kujaza nafasi katika mahakama kuu kwa mwaka mmoja. Bw Gorsuch mwenye umri wa miaka 49 ni jaji katika mahakama ya rufaa mjini Denver. Jaji huyo hatarajiwi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
DONALD TRUMP EXECUTIVE ORDER ON IMMIGRATION. Na Abel Elibariki. Siku chache baada ya kuapishwa kwa Rais wa USA Ndugu Donald Trump, katika hatua zake za kutekeleza ahadi yake ndani ya siku 100...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom