Sweden jamani haina ugomvi na mtu kwa nini magaidi waishambulie

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,822
32,731
Katika nchi zote za Skendinevia/Nordic Sweden inasifika sana Kwa ukarimu na ukaribishaji wa wahamiaji (immigrants). Haina ugomvi na mtu. Waswidi are very charming and polite. Yani ukipotea njia hata akiwa anaongea na simu ataacha akuelekeza.

Ukiwa pale downtown Stockholms utafurahi uingiliano wa watu wenye asili kutoka mataifa mbalimbali waeritria, Somalis, Ethiopians, other Africans, waarab and Pakistanis. Nilishangaa hata madereva wa treni wengi wao ni waarabu.

Ni hii hii Sweden imeitambua Palestine kama taifa kitu ambacho wengine wanaogopa. Wakimbiz wanapewa kipaumbele hata kwenye nyumba za serikali council houses.

Kwa nini magaidi Waishambulie Sweden? Yani hawa watu wachache wamewaharibia wengi ambao walishaintagrate na Swedish culture na Tayari Sweden imeshaanza kuwa na roho mbaya Kwa wahamiaji kama ndugu zao Denmark na Norway who have hostile, stiff and tough immigration policies. Mimi nachojua Mwanaume ulaya baada ya Mjerumani ni Mswidi na ni kwenye skenia na Volvo.

Jimena mrangi njiwa @ze maulid Richard
 
Best dishwasher and cleaner in Europe.

Self declared PhD holder!

Mara ya mwisho nimeona IQ ya Sweden imeshuka, kumbe unaishi huko? Sasa naelewa kwa nini wameanza kuchukia wageni kwa maana mnashusha IQ!
 
Hata mimi cjapenda ila pia inawezekana watu wakawa makanjanja kwa ajili ya kuwachafua wenzao ili waonekane wabay
 
mkuu Mimi naishi Copenhagen. Bora Mimi iq yangu ndogo but am honest and deligent

Hamna tatizo lolote wewe kuwa na IQ ndogo siyo kosa lako na hkn kitu utafanya, nimetoa tu sababu ya kwa nini IQ imeshuka huko na sasa wanaanza kuchukia wageni kwani wanabomoa social welfare system yao walioijenga kwa jasho!
 
Na wewe ni gaidi?
 
ni kweli mkuu. Sweden and other Skendinivia countries are welfare states. Nchi zote hizi za nordic zimefanya kazi sana Kwa bidii kuestablish their social strong System. Sweden ni kama baba wa hiz nchi kwasabab yenyewe ilipata maendeleo na viwanda toka zaman. Estonia nayo majuzi imejumuishwa kwenye Nordic countries kama associate.
 
Best uko powa?
besti Asante. Nimefuatilia posti zako ushaish botswana, Texas marekani na uliniambia uingereza. Hivi ulipokuwa uingeza Ndio enzi hizo Godwin brown na Tony Blair walikuwa vijana machachari kwenye labour party kwasabab umeshawaungumzia kidogo ukichangia Uzi flank. Ila nampenda sana Godwin brown is a tough speaking politician.
 
Katika nchi zote za Skendinevia/Nordic Sweden inasifika sana Kwa ukarimu na ukaribishaji wa wahamiaji (immigrants). Haina ugomvi na mtu. Waswidi are very charming and polite. Yani ukipotea njia hata akiwa anaongea na simu ataacha akuelekeza.

Ukiwa pale downtown Stockholms utafurahi uingiliano wa watu wenye asili kutoka mataifa mbalimbali waeritria, Somalis, Ethiopians, other Africans, waarab and Pakistanis. Nilishangaa hata madereva wa treni wengi wao ni waarabu.

Ni hii hii Sweden imeitambua Palestine kama taifa kitu ambacho wengine wanaogopa. Wakimbiz wanapewa kipaumbele hata kwenye nyumba za serikali council houses.

Kwa nini magaidi Waishambulie Sweden? Yani hawa watu wachache wamewaharibia wengi ambao walishaintagrate na Swedish culture na Tayari Sweden imeshaanza kuwa na roho mbaya Kwa wahamiaji kama ndugu zao Denmark na Norway who have hostile, stiff and tough immigration policies. Mimi nachojua Mwanaume ulaya baada ya Mjerumani ni Mswidi na ni kwenye skenia na Volvo.

Jimena mrangi njiwa @ze maulid Richard
Unapokaribisha waarabu, wasomali na wapakistani unatarajia nini? Hao watu tabia zao ni za kuzaliwa. Angalia walivyoiharibu ufaransa. Ila wazungu mambo mengine ni ya kujitakia tu
 
Gordon Brown is a very clever guy but doesn't have Tony Blair's charismatics. Best huko kote ninatembeaga tu mimi ninaishi Kwamtogole ukiwa unarudi nishtue nikutaarishie vitumbua.
 
hahaha best ntakushtua ila nilikuwa bongo last summer. Blair kweli ni charismatic na cunning ila hata ukija kwenye charisma Leon Trosky na Josef Stallin enzi za bolshevik walikuwa rivalry kama unaijua historia ya hawa jamaa. Trosky alikuwa very inelligent and charismatic. Kwa vyovyote vile ilijulikana atamtithi Lenin. Dah ila huyu Georgian born Stallin alichomfanyia Trosky. Watu wakimya ni hatari
 
Katika nchi zote za Skendinevia/Nordic Sweden inasifika sana Kwa ukarimu na ukaribishaji wa wahamiaji (immigrants). Haina ugomvi na mtu. Waswidi are very charming and polite. Yani ukipotea njia hata akiwa anaongea na simu ataacha akuelekeza.

Ukiwa pale downtown Stockholms utafurahi uingiliano wa watu wenye asili kutoka mataifa mbalimbali waeritria, Somalis, Ethiopians, other Africans, waarab and Pakistanis. Nilishangaa hata madereva wa treni wengi wao ni waarabu.

Ni hii hii Sweden imeitambua Palestine kama taifa kitu ambacho wengine wanaogopa. Wakimbiz wanapewa kipaumbele hata kwenye nyumba za serikali council houses.

Kwa nini magaidi Waishambulie Sweden? Yani hawa watu wachache wamewaharibia wengi ambao walishaintagrate na Swedish culture na Tayari Sweden imeshaanza kuwa na roho mbaya Kwa wahamiaji kama ndugu zao Denmark na Norway who have hostile, stiff and tough immigration policies. Mimi nachojua Mwanaume ulaya baada ya Mjerumani ni Mswidi na ni kwenye skenia na Volvo.

Jimena mrangi njiwa @ze maulid Richard
Hiyo ni mipango ambayo kwa akili zetu huku tulipo si rahisi kuelewa. Huko ikionekana serikali inafanya mambo hayaendani na mambo ya kujasusi ni lazima upangwe mpango ili wageuze njia. Ndio maana zinaitwa INTELLIGENCE SERVICES
 
Unapokaribisha waarabu, wasomali na wapakistani unatarajia nini? Hao watu tabia zao ni za kuzaliwa. Angalia walivyoiharibu ufaransa. Ila wazungu mambo mengine ni ya kujitakia tu
Kuna ka ukweli flank. Kwasabab wakimbiz wa kwanza kukaribishwa skendinevia walikuwa ni Vietnamese na chileans in 1970s. Hii ilitokana na Pol pot na pinochet kutawala Kwa mauwaji. Sasa late 80s vurugu mechi ikaanza. Wazee wakazi wasomali wakaanza kuingia Sweden kutokea urusi walipokuwa wanasoma. Unaambiwa wasomali walipoingia Sweden nilikuwa na haya makundi ya kibaguz "skin heads" walikuwa wanawanyanysa sana,mapopo (west Africans) ila wasomali walivyoingia tu naskia walikuwa wanatembeza mbano had wakawa wanailalamikia seeikali where hv u brought these ppl from
 
Hiyo ni mipango ambayo kwa akili zetu huku tulipo si rahisi kuelewa. Huko ikionekana serikali inafanya mambo hayaendani na mambo ya kujasusi ni lazima upangwe mpango ili wageuze njia. Ndio maana zinaitwa INTELLIGENCE SERVICES
mwaka jana tu Sweden imedeport 60,000 failed asylum applicants. Tena ruthlessly. Kwasababu waliamua had kukodi charter planes. Sweden haikuwa hivi. Yani Sweden inaelekea kuwa kama Denmark na Norway
 
Katika nchi zote za Skendinevia/Nordic Sweden inasifika sana Kwa ukarimu na ukaribishaji wa wahamiaji (immigrants). Haina ugomvi na mtu. Waswidi are very charming and polite. Yani ukipotea njia hata akiwa anaongea na simu ataacha akuelekeza.

Ukiwa pale downtown Stockholms utafurahi uingiliano wa watu wenye asili kutoka mataifa mbalimbali waeritria, Somalis, Ethiopians, other Africans, waarab and Pakistanis. Nilishangaa hata madereva wa treni wengi wao ni waarabu.

Ni hii hii Sweden imeitambua Palestine kama taifa kitu ambacho wengine wanaogopa. Wakimbiz wanapewa kipaumbele hata kwenye nyumba za serikali council houses.

Kwa nini magaidi Waishambulie Sweden? Yani hawa watu wachache wamewaharibia wengi ambao walishaintagrate na Swedish culture na Tayari Sweden imeshaanza kuwa na roho mbaya Kwa wahamiaji kama ndugu zao Denmark na Norway who have hostile, stiff and tough immigration policies. Mimi nachojua Mwanaume ulaya baada ya Mjerumani ni Mswidi na ni kwenye skenia na Volvo.

Jimena mrangi njiwa @ze maulid Richard
Magaidi wa Kiarabu ni Washenzi sana.

Ni Majinga yaso akili

Kama wanajilipua na kuua waarabu wenzao waso hatia ambao si wazungu wala wagalatia huoni ni Washenzi?

Waswedish asilimia kubwa ni Walutheran walio wakarimu sana.
 
Unapokaribisha waarabu, wasomali na wapakistani unatarajia nini? Hao watu tabia zao ni za kuzaliwa. Angalia walivyoiharibu ufaransa. Ila wazungu mambo mengine ni ya kujitakia tu

Sorry mi hata siwaonei huruma hao wazungu kwanza walituona sisi waafrika ni manyani wakawaribisha hayo mashetani acha wakione. Acha wapigwe mpk akili iwakae sawa. Ati wanajidai human rights, human rights gani wakati hayo mashetani waliyoyakaribisha hayana hata chembe ya ubinadamu.
 
Back
Top Bottom