Trump Ready to Tackle North Korea Alone.

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
13366e1c-17c2-11e7-9c35-0dd2cb31823a.jpeg

Rais wa Marekani amesema kuwa yuko tayari kuichukulia hatua North Korea peke yake, kuhusiana na vitisho vya Nuclear kama China haitashiriki kusaidia katika kuishawishi N.K.

"China ina ushawishi mkubwa kwa N.K na kama wataamua kusaidia itakuwa vizuri, na kama hawataamua kusaidia haitakuwa vizuri kwa yeyote. Lakini alisisitiza kuwa atapambana na N.K "with, or without China."
Rais Barack Obama alimtahadhalisha mfuatilizi wake kuhusu N.K kuwa tishio kubwa kwa Marekani baada ya kugundua kuwa Pyongyang wamepiga hatua katika kutengeneza makombora ya masafa marefu na silaha za nuclear.

“There is a real possibility that North Korea will be able to hit the US with a nuclear-armed missile by the end of the first Trump term,” KT McFarland, the deputy White House national security adviser, told the FT in a separate interview.

While Mr Trump is increasingly worried about North Korea, his view on Europe has moderated. He stressed that Brexit would be a “great deal for [the] UK and . . . really good for the European Union” but said he was less convinced that other countries would follow the UK out of the EU. “I think that it [the centre] is really holding. I think they have done a better job since Brexit.”

Ahead of the US-China summit, Mr Trump raised hopes that he would reach some kind of deal with Mr Xi, despite heavy criticism about China’s trade surplus and exchange rate policy. “I have great respect for him. I have great respect for China. I would not be at all surprised if we did something that would be very dramatic and good for both countries and I hope so.”

The National Security Council has completed a review of options on North Korea that Mr Trump ordered after his inauguration, according to two people familiar with the review. One of those people said the review had been accelerated to have the options ready for the Trump-Xi summit.

FT exclusive: Trump ready to tackle North Korea alone
 
Yeye watu wake hawatadhurika ila hawa vibaraka wake Japan na s. Korea wako tayari kuvurumishiwa hayo madude ya Pyongyang? Kwa sababu N korea jeuri yake siku akichokozwa hatakuwa na njia mbadala tofauti na kuwashambulia hawa vibaraka wa marekani je Japan yuko tayari kurudia historia ya Nagasaki na Hiroshima? Cha msingi hapa kila nchi iachwe ijitawale hata kama watachinjana yatakuwa ni makubaliano ya sheria zao
 
Siku N.Korea akirusha nuclear Japan au North Korea bhas huo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa North Korea. US ndo atakua kashapata sababu ya kumchapa kwa nuclear, maana US alishasemaga siku north korea akishambulia mmoja wa washirika wake bhas italipiza na kujibu kwa kishindo kikubwa zaid. Trident, B61,B83 zote zitatua north Korea.
 
Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
 
China hatompa msaada wowote Trump, China analinda maslai yake ya biashara na K.Kaskazini

Kwenye hii vita China atakuwa upande wa K.Kaskazini
 
Patakuwa patam hapo.....
Huku china akimsapoti N Korea ......
Na huku Israel akimsapoti UsA.....
Watapiga hela sana kweny hiyo muvie
 
Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
Marekani hayupo tayari kuingia kwenye vita, Sana sana atabweka tu mwisho atapiga kimya,
 
Siku N.Korea akirusha nuclear Japan au North Korea bhas huo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa North Korea. US ndo atakua kashapata sababu ya kumchapa kwa nuclear, maana US alishasemaga siku north korea akishambulia mmoja wa washirika wake bhas italipiza na kujibu kwa kishindo kikubwa zaid. Trident, B61,B83 zote zitatua north Korea.
Na NK akiishambulia marekani utakuwa ndio mwisho nani?
 
Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
Japan haina jeshi acha kudanganya Japan ulinzi wake unategemea Marekani
 
Wakati Usa anaifuta N korea kwenye ramani ya dunia Japan Na S korea watakuwa wapi? N korea hana cha Kupoteza kikinuka Japan s kusini wavurumishiwa Nyuklia za kutosha na mbaya zaidi Makombora ya Nyuklia ukiwahiwa huna chako sasa mwambieni huyo usa amchokoze mnyoa kiduku kama anawapenda vibaraka wake afunge domo lake n korea siyo waarabu wa kupelekwa pelekwa aliwakimbia wavietnam leo hii atawaweza wanyoa viduku?
 
Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
Mfano mzuri ni Bush alivyokuwa Raisi
 
Back
Top Bottom