Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
Wanajamii
Nimekuwa nikisikia mengi sana yanaongelewa kuhusu Kisiwa cha Iwawa Nchini Rwanda.
Usipoonekana wengi wanahisi uko Iwawa. Ukijaonekana mitaani baada ya miaka miwili au mitatu, unakuwa na tabia tofauti na wengi hukushangaa.
Swali la Udadisi: Je umewahi kusikia lolote kuhusu Kisiwa cha Iwawa Nchini Rwanda? Kama bado fanya kila uwezalo kutafuta Iwawa ni kitu gani.
Kuna nini kinachoendelea Kisiwani?
What are the utold stories of Iwawa?
Je Watanzania wana chochote cha kujifunza?
Wakereketwa wa habari za uchunguzi name Udadisi kazi kwenu. Mwenye macho haambiwi tazama.