Mwanasheria mkuu wa Donald Trump amehutumiwa kuwa alifanya mawasiliano na balozi wa urusi wakati wa kampeni. Hivyo ameombwa kujiweka pembeni ili uchunguzi dhidi yake ufanyike. Je ,hapa kwetu nani...
STRANGE IMAGES APPEAR IN THE SKY IN KITWE
There was drama today in Kitwe at mukuba mall when a strange image that look like a human appeared in the clouds.
According to eye witnesses say the...
DR CONGO: Watu watano akiwemo Mtanzania mmoja wametekwa nyara na wapiganaji wenye silaha za moto walipokuwa katika mgodi wa Banro.
Mmoja wa maafisa wa Mgodi huo amethibitisha kuwa msako mkali...
Uganda imetajwa kuwa nchi yenye raia wanaozungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha barani Afrika
Utafiti uliofanywa na Shirika la Lugha duniani World Linguistic Society umesema Uganda inaongoza...
Katika hotuba yake ya juzi na waandishi wa habari nimepata vitu ishirini ambavyo hutavisika kwenye vyombo vya habari.
1. Amezungumzia hili jambo zima la yeye kuhusishwa na urusi ni njama...
Mutumishi wa umma alizikwa na zaidi ya Sh200 milioni za Uganda (Sh5.7 milioni za Kenya) ili akamhonge Mungu asipewe hukumu kali atakapokutana na muumba wake
Bw. Charles Obong mwenye umri wa...
Mwanasheria mkuu nchini Marekani jenerali Jeff Sessions alikutana na balozi wa Urusi wakati wa uchaguzi licha ya kuthibitisha kuwa hakufanya mawasiliano yoyote na Urusi.
Idara ya haki...
Huko Afrika Kusini katika kisa cha kushangaza mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mildred Mashego na binti yake, Patricia Mashego wa miaka 19, walitungwa mimba na mwanamume mmoja na wamejifungua...
Muuguzi raia wa Liberia Salome Karwah ni baadhi ya wale waliotajwa na jarida la Time magazine kuwa mtu bora wa mwaka, mwaka 2014 baada ya kushiriki katika vita dhidi ya ugonjwa wa Ebola
Alifariki...
Mahakama ya Zimbabwe imepiga marufuku adhabu ya kuwachapa watoto shuleni na hata nyumbani .
Uamuzi huo unajiri baada ya mzazi mmoja kulalamika kwamba mwanawe katika darasa la kwanza alikuwa na...
China to build 30,000 new kilometers of railway before 2020
The total mileage of China's domestic railway system is expected to grow by 30,000 kilometers before 2020, according to the country's...
Mh. Nape kazi ya kupambana na wauza madawa ni kazi ngumu.
Inahitaji kujitoa kwa 100%
Kwa ufupi, Nchi ya ufilipino kupitia mamlaka zao iliamrishwa wauza madawa/watumiaji wajisajili [Sawa na...
Ripoti kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab, iliyo kaskazini mashariki mwa Kenya, inasema kuwa walimu wawili raia wa Kenya wametekwa nyara.
Walimu hao walivamiwa manyumbani mwao na watu wenye...
Waziri mkuu wa Lesotho Pakalitha Mosisili
Waziri Mkuu wa Lesotho Pakalitha Mosisili amepigiwa kura ya kutokua na imani naye na bunge la nchi.
Kufuatia hatu hio, bunge la taifa litavunjwa na...
Rais Mohamed Abdullahi Farmajo wa Somalia ametangaza janga la njaa lililoikumba nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kuwa ni maafa ya taifa.
Katika taarifa iliyotolewa jana na Ikulu ya Somalia, Rais...
Asema wazi kwamba yeye ni mjumbe wa Marekani...basi, mengine mtajijua tena hana muda huo.
Donald Trump’s claim that it isn’t his job “to represent the world” drew very little love from...
Nchini Swaziland, Idara ya Safari za Anga imebaini kuwepo athari nyingi zinazosababishwa kwa vyombo vya usafiri angani kuingiliwa na safari za wachawi wanaorandaranda angani.
Kwa sababu hiyo...
Bunge la Somalia limeidhinisha uteuzi wa Hassan Ali Kheyra kuwa waziri mkuu.
Kheyra ambaye aliwahi kufanya kazi kama mshauri na mkurugeni mkuu wa kampuni ya mafuta anatarajiwa kuteua baraza lake...
RABAT: Morocco said Sunday it will pull back from a zone of the contested Western Sahara that has raised tensions with Polisario Front separatists. “The Kingdom of Morocco will proceed from today...
Abu Sayyaf group decapitated hostage Jurgen Kantner and videotaped the killing after ransom demands went unmet.
Philippine President Rodrigo Duterte apologised on Tuesday for failing to save an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.