Urusi yadai ina uwezo wa kielectroniki wa "Kujam" manowari za kijeshi za Marekani

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Urusi imedai kuwa, ina uwezo wa kuvifanya vifaa vya kijeshi vya majini vya Marekani visiweze kufanya chochote kwa kutumia signal kali sana za kielektroniki.

Taarifa kutoka nchi hiyo zinasema kwamba, Urusi inayo tekinolojia siyo tu ya Kujam Meli, bali inaweza kujam hata ndege na makombora

Gazeti hilo pia limedai kuwa Urusi ina uwezo wa kutengeneza anga la kielectroniki juu ya Kambi zake za kijeshi zisiweze kuonwa na adui!

KWA HABARI ZAIDI SOMA CHINI HAPA:

Russia has claimed it can disable the entire US Navy in one fell swoop using powerful electronic signal jamming.

A news report from the country – where the media is essentially controlled by the state – said the technology could render planes, ships and missiles useless.

The newsreader says: “Today, our Russian Electronic Warfare (REW) troops can detect and neutralise any target from a ship’s system and a radar, to a satellite.”

The news report claims a single Russian war plane flew several times around American destroyer the USS Donald Cook in the Black Sea several years ago, disabling its systems and leaving it helpless.

The report also claims they are capable to creating electronic jamming domes over their bases that make them invisible on radar screens.
 
Acha wachapane tu hamna namna,,,,,,, furaha yangu ni kuona nani mbabe zaidi ili mikwara ikome, ,,,,,,, furaha zaidi kwa wapenda mabadiliko ni madhara yatokanayo kwani hayo mawimbi lahasha hayatotuacha salama kivileeee haswaaaa kiuchumi bongoland na hii itaongeza sauti ya kiitikio cha ( hali ngumuuuuu x3)
 
Urusi imedai kuwa, ina uwezo wa kuvifanya vifaa vya kijeshi vya majini vya Marekani visiweze kufanya chochote kwa kutumia signal kali sana za kielektroniki.

Taarifa kutoka nchi hiyo zinasema kwamba, Urusi inayo tekinolojia siyo tu ya Kujam Meli, bali inaweza kujam hata ndege na makombora

Gazeti hilo pia limedai kuwa Urusi ina uwezo wa kutengeneza anga la kielectroniki juu ya Kambi zake za kijeshi zisiweze kuonwa na adui!

KWA HABARI ZAIDI SOMA CHINI HAPA:

Russia has claimed it can disable the entire US Navy in one fell swoop using powerful electronic signal jamming.

A news report from the country – where the media is essentially controlled by the state – said the technology could render planes, ships and missiles useless.

The newsreader says: “Today, our Russian Electronic Warfare (REW) troops can detect and neutralise any target from a ship’s system and a radar, to a satellite.”

The news report claims a single Russian war plane flew several times around American destroyer the USS Donald Cook in the Black Sea several years ago, disabling its systems and leaving it helpless.

The report also claims they are capable to creating electronic jamming domes over their bases that make them invisible on radar screens.
Propaganda za Warusi hizo. Si kweli hata kidogo.
 
Hivi Bado mna lishwaga matangopoli na Putin.... Si Alisema ana bomu la kuzamisha France na UK. ...mumekimbia western media Sasa mko Eastern media na mtaelekea Udaku media ... Teh Teh report inaonesha wabongo wengi kuamin mipasho ni high % kuliko events... Ndo mana wakikosa wanakua waoga hawajiamin
 
Sie yetu macho tu;
Wazipige vijana wetu wapate ajira kwa muda kidogo, maana lazma misaada iende huko kwa wahanga.
 
Urusi imedai kuwa, ina uwezo wa kuvifanya vifaa vya kijeshi vya majini vya Marekani visiweze kufanya chochote kwa kutumia signal kali sana za kielektroniki.

Taarifa kutoka nchi hiyo zinasema kwamba, Urusi inayo tekinolojia siyo tu ya Kujam Meli, bali inaweza kujam hata ndege na makombora

Gazeti hilo pia limedai kuwa Urusi ina uwezo wa kutengeneza anga la kielectroniki juu ya Kambi zake za kijeshi zisiweze kuonwa na adui!

KWA HABARI ZAIDI SOMA CHINI HAPA:

Russia has claimed it can disable the entire US Navy in one fell swoop using powerful electronic signal jamming.

A news report from the country – where the media is essentially controlled by the state – said the technology could render planes, ships and missiles useless.

The newsreader says: “Today, our Russian Electronic Warfare (REW) troops can detect and neutralise any target from a ship’s system and a radar, to a satellite.”

The news report claims a single Russian war plane flew several times around American destroyer the USS Donald Cook in the Black Sea several years ago, disabling its systems and leaving it helpless.

The report also claims they are capable to creating electronic jamming domes over their bases that make them invisible on radar screens.
Urusi tushamsahau kwa sasa, habari ya mjn ni Kim vs Trump.
 
Back
Top Bottom