BARUA YA Patrice Lumumba

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
949
Leo nilimkumbuka shujaa wa nchi ya Kongo DRC,Patrice Lumumba nikaamua kuirudia kuisoma barua yake ambaye alimwandikia mke wake Pauline na watoto wake muda mchache kabla hajauwawa mwaka 1960.Ni barua ambayo siku ya kwanza nilipoisoma miaka kadhaa huko nyuma ilinitoa machozi sana.
Katika barua ile alimwambia mke na watoto wake kuwa hana uhakika kama barua ile itawafikia lakini pia hana uhakika kama ataweza kuwaona tena.Juu ya yote alieleza kuwa anajisikia fahari sana kwa kuwa hayuko tayari kuwa kibaraka wa kikoloni na kuwasaliti wananchi wa kongo kwa jambo lolote lile,yuko tayari kufa ili mradi anasimamia jambo sahihi kwa manufaa ya wengi.

Barua hii inanikumbusha maneno ya Emiliono Zambata,kamanda wa jeshi na mwanamapinduzi wa mexico aliyesema”Ni bora kufa umesimama kuliko kuishi huku umepiga magoti”.Ghafla nikakumbuka maneno ya mwanaharakati mweusi wa marekani,Martin Luther Jr aliposema-“Kama haujapata jambo ambalo uko tayari kutoa uhai wako kwa hilo basi haufai kuendelea kuishi”,maneno haya makali yakanipeleka kwa Steven Bikko aliyesema-“Ni bora kufa kwa wazo litakaloishi kuliko kuishi kwa wazo litakalokufa”

Watu hawa hawakumaanisha kuwa hawapendi kuishi na wanapenda kufa hovyohovyo,la hasha.Walimaanisha kuwa kwenye maisha yao wamepata sababu zenye nguvu na msingi zaidi kuliko kuishi ili kula,kunywa,kununua gari,kuoa/kuolewa na kuwa na watoto.Wanamaanisha kuwa kama unataka kuwa mtu unayeleta tofauti katika kizazi chako ni lazima uwe mtu uliye tayari kujitoa kwa ajili ya wengine.Siku moja mwaka 2002 wakati nasoma biblia nilikutana na ujumbe wa Mwanzo 45:5,”..Yusufu akawaambia kaka zake,Ingawa ninyi mliniuza ila Mungu alikusudia Kunitanguliza ili niwasaidie (To save your life)”Nikasikia ujumbe ndani yangu-“Joel Nanauka,nawe umetumwa ili uwasaidie wengine”.Kuanzia hapo nilianza kujifunza mambo mengi sana na kujaribu kufanya kila nililoweza kwa ajili ya kuchangia mafanikio ya wengine.

Mabadiliko katika nchi yoyote yanaletwa pale kunapokuwepo na watu walio tayari kuishi maisha ya kujitoa.Najua unasoma ujumbe huu kwa sababu wewe ni mmoja wao.Kumbuka kile Mama Theresa Alichosema-“Hakuna anayeweza kuwasaidia watu wote,lakini kila mtu anaweza kumsaidia angalau mtu mmoja”
Watu wanaoleta mabadiliko katika kizazi chao ni watu ambao wanaamini kuwa wanao wajibu mkubwa kwa jamii yao bila kujali nafasi waliyonayo kwa sasa.Angalia kile ambacho unatamani kibadilike na chukua hatua ya kubadilisha.Safari ya kuchangia mabadiliko katika jamii na nchi yako yanahitaji uvumilivu sana,usikubali kukata tamaa kwa sababu ulifanya kitu hakikuwa na matokeo.Katika nchi nyingi watu wanaosimamia haki na mabadiliko ya dhati huchukiwa na watu wabaya wako tayari kuwaondoa duniani.

Tunahitaji kizazi kipya cha watu ambao si wale walio tayari kumwaga damu za wengine ili wao wabakie katika nafasi bali wale walio tayari kutoa uhai wao ili kuokoa uhai wa wengine.Wako wapi akina Mandela wa leo ambao hawakusukumwa na cheo bali walisukumwa na ukombozi wa mtu mweusi.Wako wapi akina Nyerere wa leo ambao hawakusukumwa na kutafuta umaarufu na utajiri kupitia nafasi zao bali walisukumwa na uzalendo na upendo kwa nchi yao,ambaye hadi anakaribia kukata roho bado anasema-“Najua Watanzania watanililia,lakini nitawaombea kwa Mungu”

Ile sauti najua haikuwa ya peke yangu,najua nawe unaisikia ndani yako,najua kipo kizazi kipya kinachoamini katika kujitoa kwa ajili ya jamii na nchi yao sio kwa ajili ya faida yao wenyewe bali kwa ajili ya faida ya wengine na kizazi kijacho.

Patrice Lumumba ambaye hata mifupa yake iliyeyushwa kwa tindikali ili kufuta ushahidi ,sauti yake bado inalia kutoka katika misitu ya kongo kwenda kila nchi ya bara la Afrika-Inalia na kuita”Wako wapi Vijana wa kizazi cha leo walio tayari kujitoa kwa nchi yao?”Sauti hii inasikika katika kila kona ya Tanzania leo,nani ataitika na Kuanza kuchukua Hatua?

Naipenda Tanzania
 
Ni wazo zuri la madaliko. Lakini mnaetuletea ili kufanya mabadiliko ndiye kichefuchefu
LOWASA!!!!!
 
kiongozi wa kambi ya upinzani Mbowe baada ya kuhongwa billion 10 akamuuzia chama Lowasa...Tanzania hakuna wa kuleta mabadiliko
 
sasa hivi tunaishi post deindustrilization era wanasiasa katika mfumo huu wa ubepari uchwara wame create consumer society na wanajidai kutatua matatizo in a way that wanacreate needs nyingine wanajidai wanatuletea elimu bure huku wanaletelezea watu kuzaana hovyo.. wanajidai kutengeneza bara bara za lami huku wanacreate watu kuwa wezi ili waje kua na magari..wanajidai kutoa ARV(dawa za ukimwi bure) huku wanaacha video za porno kama kawaida..wameruhusu makopyuta kuingia nchini huku yakiwafanya watu kua vilaza cha kushangaza ni jinsi vijana hawana ajira wanaishi kwa bidhaa za uchuuzi. kama vile kuuza sumu za panya ,nguo nguo ,bodaboda kias ikwamba wengi wao wanakufa sana kutokakana nawao kukosa fedha za matibabu laiti wangejua hakuna vita mbaya kama kukosa ajira ,kukosa matibabu wangezinduka.
 
Mwalimu Nyerere.
Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndiyo ulitufanya tuonewe na kunyanyaswa.
 
Leo nilimkumbuka shujaa wa nchi ya Kongo DRC,Patrice Lumumba nikaamua kuirudia kuisoma barua yake ambaye alimwandikia mke wake Pauline na watoto wake muda mchache kabla hajauwawa mwaka 1960.Ni barua ambayo siku ya kwanza nilipoisoma miaka kadhaa huko nyuma ilinitoa machozi sana.
Katika barua ile alimwambia mke na watoto wake kuwa hana uhakika kama barua ile itawafikia lakini pia hana uhakika kama ataweza kuwaona tena.Juu ya yote alieleza kuwa anajisikia fahari sana kwa kuwa hayuko tayari kuwa kibaraka wa kikoloni na kuwasaliti wananchi wa kongo kwa jambo lolote lile,yuko tayari kufa ili mradi anasimamia jambo sahihi kwa manufaa ya wengi.

Barua hii inanikumbusha maneno ya Emiliono Zambata,kamanda wa jeshi na mwanamapinduzi wa mexico aliyesema”Ni bora kufa umesimama kuliko kuishi huku umepiga magoti”.Ghafla nikakumbuka maneno ya mwanaharakati mweusi wa marekani,Martin Luther Jr aliposema-“Kama haujapata jambo ambalo uko tayari kutoa uhai wako kwa hilo basi haufai kuendelea kuishi”,maneno haya makali yakanipeleka kwa Steven Bikko aliyesema-“Ni bora kufa kwa wazo litakaloishi kuliko kuishi kwa wazo litakalokufa”

Watu hawa hawakumaanisha kuwa hawapendi kuishi na wanapenda kufa hovyohovyo,la hasha.Walimaanisha kuwa kwenye maisha yao wamepata sababu zenye nguvu na msingi zaidi kuliko kuishi ili kula,kunywa,kununua gari,kuoa/kuolewa na kuwa na watoto.Wanamaanisha kuwa kama unataka kuwa mtu unayeleta tofauti katika kizazi chako ni lazima uwe mtu uliye tayari kujitoa kwa ajili ya wengine.Siku moja mwaka 2002 wakati nasoma biblia nilikutana na ujumbe wa Mwanzo 45:5,”..Yusufu akawaambia kaka zake,Ingawa ninyi mliniuza ila Mungu alikusudia Kunitanguliza ili niwasaidie (To save your life)”Nikasikia ujumbe ndani yangu-“Joel Nanauka,nawe umetumwa ili uwasaidie wengine”.Kuanzia hapo nilianza kujifunza mambo mengi sana na kujaribu kufanya kila nililoweza kwa ajili ya kuchangia mafanikio ya wengine.

Mabadiliko katika nchi yoyote yanaletwa pale kunapokuwepo na watu walio tayari kuishi maisha ya kujitoa.Najua unasoma ujumbe huu kwa sababu wewe ni mmoja wao.Kumbuka kile Mama Theresa Alichosema-“Hakuna anayeweza kuwasaidia watu wote,lakini kila mtu anaweza kumsaidia angalau mtu mmoja”
Watu wanaoleta mabadiliko katika kizazi chao ni watu ambao wanaamini kuwa wanao wajibu mkubwa kwa jamii yao bila kujali nafasi waliyonayo kwa sasa.Angalia kile ambacho unatamani kibadilike na chukua hatua ya kubadilisha.Safari ya kuchangia mabadiliko katika jamii na nchi yako yanahitaji uvumilivu sana,usikubali kukata tamaa kwa sababu ulifanya kitu hakikuwa na matokeo.Katika nchi nyingi watu wanaosimamia haki na mabadiliko ya dhati huchukiwa na watu wabaya wako tayari kuwaondoa duniani.

Tunahitaji kizazi kipya cha watu ambao si wale walio tayari kumwaga damu za wengine ili wao wabakie katika nafasi bali wale walio tayari kutoa uhai wao ili kuokoa uhai wa wengine.Wako wapi akina Mandela wa leo ambao hawakusukumwa na cheo bali walisukumwa na ukombozi wa mtu mweusi.Wako wapi akina Nyerere wa leo ambao hawakusukumwa na kutafuta umaarufu na utajiri kupitia nafasi zao bali walisukumwa na uzalendo na upendo kwa nchi yao,ambaye hadi anakaribia kukata roho bado anasema-“Najua Watanzania watanililia,lakini nitawaombea kwa Mungu”

Ile sauti najua haikuwa ya peke yangu,najua nawe unaisikia ndani yako,najua kipo kizazi kipya kinachoamini katika kujitoa kwa ajili ya jamii na nchi yao sio kwa ajili ya faida yao wenyewe bali kwa ajili ya faida ya wengine na kizazi kijacho.

Patrice Lumumba ambaye hata mifupa yake iliyeyushwa kwa tindikali ili kufuta ushahidi ,sauti yake bado inalia kutoka katika misitu ya kongo kwenda kila nchi ya bara la Afrika-Inalia na kuita”Wako wapi Vijana wa kizazi cha leo walio tayari kujitoa kwa nchi yao?”Sauti hii inasikika katika kila kona ya Tanzania leo,nani ataitika na Kuanza kuchukua Hatua?

Naipenda Tanzania
Pilato anamuhukumu Yesu ili afe japo haoni kosa lake.. Analinda urafiki kwa kaisari... Ni viongozi wangapi wako tayari kuwaangamiza watu ambao ni kikwazo kwao au wanaonekana kwenda kinyume nao? Au kulinda urafiki wa kaisari pale wanapoonekana kutibua ugali wao... Ni wangapi wamekufa au wameumizwa kwa kusema iliyo kweli??
 
kiongozi wa kambi ya upinzani Mbowe baada ya kuhongwa billion 10 akamuuzia chama Lowasa...Tanzania hakuna wa kuleta mabadiliko
Watu kama nyie wenye vihoja vya ki kangakanga na kideradera ndio mnachelewesha maendeleo ya nchi hii.
 
*kwa anaehitaji t_shirt za CCM kwa bei poa anicheck inbox 0761741574*

*T_shirt hizo kwa nyuma zimeandikwa ushindi 2020 lazima*
 
Leo nilimkumbuka shujaa wa nchi ya Kongo DRC,Patrice Lumumba nikaamua kuirudia kuisoma barua yake ambaye alimwandikia mke wake Pauline na watoto wake muda mchache kabla hajauwawa mwaka 1960.Ni barua ambayo siku ya kwanza nilipoisoma miaka kadhaa huko nyuma ilinitoa machozi sana.
Katika barua ile alimwambia mke na watoto wake kuwa hana uhakika kama barua ile itawafikia lakini pia hana uhakika kama ataweza kuwaona tena.Juu ya yote alieleza kuwa anajisikia fahari sana kwa kuwa hayuko tayari kuwa kibaraka wa kikoloni na kuwasaliti wananchi wa kongo kwa jambo lolote lile,yuko tayari kufa ili mradi anasimamia jambo sahihi kwa manufaa ya wengi.

Barua hii inanikumbusha maneno ya Emiliono Zambata,kamanda wa jeshi na mwanamapinduzi wa mexico aliyesema”Ni bora kufa umesimama kuliko kuishi huku umepiga magoti”.Ghafla nikakumbuka maneno ya mwanaharakati mweusi wa marekani,Martin Luther Jr aliposema-“Kama haujapata jambo ambalo uko tayari kutoa uhai wako kwa hilo basi haufai kuendelea kuishi”,maneno haya makali yakanipeleka kwa Steven Bikko aliyesema-“Ni bora kufa kwa wazo litakaloishi kuliko kuishi kwa wazo litakalokufa”

Watu hawa hawakumaanisha kuwa hawapendi kuishi na wanapenda kufa hovyohovyo,la hasha.Walimaanisha kuwa kwenye maisha yao wamepata sababu zenye nguvu na msingi zaidi kuliko kuishi ili kula,kunywa,kununua gari,kuoa/kuolewa na kuwa na watoto.Wanamaanisha kuwa kama unataka kuwa mtu unayeleta tofauti katika kizazi chako ni lazima uwe mtu uliye tayari kujitoa kwa ajili ya wengine.Siku moja mwaka 2002 wakati nasoma biblia nilikutana na ujumbe wa Mwanzo 45:5,”..Yusufu akawaambia kaka zake,Ingawa ninyi mliniuza ila Mungu alikusudia Kunitanguliza ili niwasaidie (To save your life)”Nikasikia ujumbe ndani yangu-“Joel Nanauka,nawe umetumwa ili uwasaidie wengine”.Kuanzia hapo nilianza kujifunza mambo mengi sana na kujaribu kufanya kila nililoweza kwa ajili ya kuchangia mafanikio ya wengine.

Mabadiliko katika nchi yoyote yanaletwa pale kunapokuwepo na watu walio tayari kuishi maisha ya kujitoa.Najua unasoma ujumbe huu kwa sababu wewe ni mmoja wao.Kumbuka kile Mama Theresa Alichosema-“Hakuna anayeweza kuwasaidia watu wote,lakini kila mtu anaweza kumsaidia angalau mtu mmoja”
Watu wanaoleta mabadiliko katika kizazi chao ni watu ambao wanaamini kuwa wanao wajibu mkubwa kwa jamii yao bila kujali nafasi waliyonayo kwa sasa.Angalia kile ambacho unatamani kibadilike na chukua hatua ya kubadilisha.Safari ya kuchangia mabadiliko katika jamii na nchi yako yanahitaji uvumilivu sana,usikubali kukata tamaa kwa sababu ulifanya kitu hakikuwa na matokeo.Katika nchi nyingi watu wanaosimamia haki na mabadiliko ya dhati huchukiwa na watu wabaya wako tayari kuwaondoa duniani.

Tunahitaji kizazi kipya cha watu ambao si wale walio tayari kumwaga damu za wengine ili wao wabakie katika nafasi bali wale walio tayari kutoa uhai wao ili kuokoa uhai wa wengine.Wako wapi akina Mandela wa leo ambao hawakusukumwa na cheo bali walisukumwa na ukombozi wa mtu mweusi.Wako wapi akina Nyerere wa leo ambao hawakusukumwa na kutafuta umaarufu na utajiri kupitia nafasi zao bali walisukumwa na uzalendo na upendo kwa nchi yao,ambaye hadi anakaribia kukata roho bado anasema-“Najua Watanzania watanililia,lakini nitawaombea kwa Mungu”

Ile sauti najua haikuwa ya peke yangu,najua nawe unaisikia ndani yako,najua kipo kizazi kipya kinachoamini katika kujitoa kwa ajili ya jamii na nchi yao sio kwa ajili ya faida yao wenyewe bali kwa ajili ya faida ya wengine na kizazi kijacho.

Patrice Lumumba ambaye hata mifupa yake iliyeyushwa kwa tindikali ili kufuta ushahidi ,sauti yake bado inalia kutoka katika misitu ya kongo kwenda kila nchi ya bara la Afrika-Inalia na kuita”Wako wapi Vijana wa kizazi cha leo walio tayari kujitoa kwa nchi yao?”Sauti hii inasikika katika kila kona ya Tanzania leo,nani ataitika na Kuanza kuchukua Hatua?

Naipenda Tanzania
ujumbe wako ni mnzuri sana na unanipa nguvu kwa hiki kiamini na kukifanya kwa jamii! wengi watasoma lakini sijui kama watakuelewa kwa kuwa wengi wanaiangalia sehemu ya mabadiliko ni ya rais bila wao kuangalia wamefanya nini kwa nafasi zao!
wengi wamejaa malalamiko huku wakijituma kidogo wakiona kila mapungufu walionayo yametokana na serikali na wala wao hawanamchango kwa yaliyotokea.
kwa kiasi kikubwa kumezaliwa taifa la kufikiria vitu vyepesi mno huwezi kuamiini hii ndo maana uzi huu hawezi changiwa na wengi.
ifike mahali kila mtu ajiulize ameifanyia nini tanzania na sio amefanyiwa nini na tanzania!
ni vizuri thamani ya elimu yako au maarifa yako yaendelee kuishi siku zote na hii itakupa faraja wakati wa uzee wako.
kuna kipindi ilinilazimu niweke degree chini na niuze biashara ndogo sana iliyonisaidia kukuza uelewa ninaofanya sasa kwa jamii najivunia ninachofanya kwakuwa naona jamii ikibadilika kwa kutumia ushawishi mdogo sana.
 
Back
Top Bottom