Ngoma bado mbichi: Meli za kivita US Zageuza tena Kurudi kuelekea North Korea

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
58f82259c3618801388b45d9.jpg


Mgongano wa kauli unaendelea kwenye benchi la Trump.
Zile meli ambazo mwanzoni inasemekana zilikuwa zinaelekea North korea na kuja kusemekana juzi kuwa zilikuwa zinapita zina safari zake, Habari leo zinasema zimegeuza na kurudi kwenye Penusula ya Korea.

Msafara huo wenye mameli makubwa ya kivita(USS Carl Vinson, Nimitz-class nuclear-powered aircraft carrier, two destroyers and one cruiser.) Zinatarajiwa kutua eneo la korea tarehe 25 siku hiyo hiyo ndiyo ambayo Korea Kaskazini watakuwa wanaazimisha kumbukumbu ya uanzishwaji wa Jeshi lao.

=======

Trump’s ‘armada’ turns toward North Korea as White House defends misleading remarks
58f82259c3618801388b45d9.jpg

USS Carl Vinson (CVN 70) . © U.S. Navy Photo / Flickr
AddThis Sharing Buttons
Share to Facebook454Share to TwitterShare to RedditShare to StumbleUponShare to Google+Share to Tumblr

The White House stood by President Donald Trump’s recent talk of a Navy strike force on its way to the Korean peninsula, after the USS Carl Vinson was spotted thousands of miles away, headed in the opposite direction. The fleet has since turned around.

On Wednesday, White House press secretary Sean Spicer denied that Trump misled the public about the location of the USS Carl Vinson strike force, which he said was heading to North Korea during an interview with Fox News earlier this month.

We have submarines. Very powerful, far more powerful than the aircraft carrier, that I can tell you,” Trump told Maria Bartiromo in a pre-taped interview that aired April 12.

Several tweets from Trump at the time also signaled that rising tensions were leading to the US taking action against North Korea over the country’s nuclear program.

On April 11, Spicer confirmed that the Vinson strike force was “steaming out toward the Sea of Japan” to give the president “options in the region.

I think when you see a carrier group steaming into an area like that, the forward presence of that is clearly, through almost every instance, a huge deterrence. So I think it serves multiple capabilities,” Spicer said, according to the White House.

That same day, Defense Secretary James Mattis added to the confusion when he told reporters that the strike group was on its way to the Sea of Japan, but added, “There's not a specific demand signal or specific reason why we're sending her up there,” according to the Department of Defense website.

On April 15, the Navy posted a photograph to Flickr with a description that said the USS Carl Vinson was heading through the Sunda Strait, putting it several hundred miles south of Singapore, around 3,500 miles from the Korean Peninsula.

On Wednesday, Spicer denied that the Trump administration misled or failed to correct the reports that the Vinson strike force was en route to North Korea.

The president said that we have an armada going toward the peninsula. That’s a fact. It happened. It is happening, rather,” Spicer said during a press briefing.

Pressed by reporters as to why the White House did not clarify the conflicting information, Spicer said that his statements were not false.

I think we were asked very clearly about the use of a carrier group in terms of deterrence and foreign presence and what that meant. That’s what we discussed,” Spicer told reporters.

Speaking on a visit to Saudi Arabia, Mattis also denied that he had said anything misleading about the Vinson.

We’re doing exactly what we said we were going to do,” Mattis told reporters in a video posted to the Department of Defense website.

She will be on her way, and I’ll determine when she gets there and where she actually operates, but the Vinson is going to be part of our ensuring that we stand by our allies in the northwest Pacific,” Mattis added.

The Vinson Strike Group consists of the USS Carl Vinson, a Nimitz-class nuclear-powered aircraft carrier, two destroyers and one cruiser.

On April 9, the Navy announced that Admiral Harry Harris, the commander of US Pacific Command, ordered the strike group to forgo the previously planned port visits to Australia and return to the Western Pacific Ocean.

Reports from the Korea Herald say that the strike force is now on its way to the Korean Peninsula, citing the US Pacific Fleet Command’s Flickr account.

The Vinson is currently expected to arrive at the Korean Peninsula on April 25, the same day as the 85th anniversary of the foundation of the North Korean army, according to the Korea Herald.


Trump’s ‘armada’ turns toward North Korea as White House defends misleading remarks
 
Siongei tena sana kuhusiana na hii issue. Nasubiria kipondo cha uhakika tu sasa.
hahahaa Haya mambo hayataki ushabiki.
Jamaa wanavizia siku za matukio muhimu ili kumtisha dogo Kim.
Ngoja tuone kama kumbukumbu ya kuanziswa kwa jeshi lake hata fanya yake pamoja na kuzungukwa na mameli ya kutisha.
Huchelewi kusikia manowali zinaelekea somalia maigizo kila kukicha
 
hahahaa Haya mambo hayataki ushabiki.
Jamaa wanavizia siku za matukio muhimu ili kumtisha dogo Kim.
Ngoja tuone kama kumbukumbu ya kuanziswa kwa jeshi lake hata fanya yake pamoja na kuzungukwa na mameli ya kutisha.
Huchelewi kusikia manowali zinaelekea somalia maigizo kila kukicha
USA kama mwanamke wa uswahilini tu.. Maneno kibao matendo sifuri

Kim yeye anaendelea tu kufanya mambo yake cha ajabu nyie mnaishia kupiga midomo tu..
 
Bila shaka CIA wameshampa Trump mafile ya vita dhidi ya Nkorea. CIA inatambua kabisa Nkorea ni habari nyingine, anachofanya USA ni kuleta Drama kama zile za Bashite na Madawa ya kulevya bongo.
 
Bila shaka CIA wameshampa Trump mafile ya vita dhidi ya Nkorea. CIA inatambua kabisa Nkorea ni habari nyingine, anachofanya USA ni kuleta Drama kama zile za Bashite na Madawa ya kulevya bongo.
hahahaa Labda walichanganywa na haya mavitu maana wengi hawakutegemea kama anajipya
hqdefault.jpg
 
Nchi za Asia sio kama Waarabu hapo USA atagwaya na itachukua muda, anasubiri washirika wamuunge mkono,ila nao ni kama wanapotezea.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Dalili ya kuchanganyikiwa ni kuanza kuongea ongea mwenyewe leo Ikulu ya US imekuwa kama kila mtu anasema lake Rais kutwa kushinda Twitter na kuitumia Twitter kama Official statement ya Serikali ya Marekani

Pamoja na yote kilicho watoa Korean peninsula ndicho kitawatoa tena na kinachofata ni kujam kwa System za Meli zao
 
Hamna kitu hapo! Marekani anacheza sarakasi tu kupunguza aibu ya kuzomewa dunia nzima kwa kusepa! Baada ya muda itatungwa story nyingine!
 
US mbele haendi wala nyuma harudi yupo yupo, ana mark time. Hii vita si ndogo ogopa sana mtu anayetumia akili yake mwenyewe kutengeneza silaha zake mwenyewe bila ya kutumia teknolojia ya mtu mwingine, ogopa sana na ndio maana NK anajiamini kila kitu anachokitumia amekiunda na kutengeneza yy na yy ndiye anayejua efficiency ya hizo silaha. Marekani akae akijua wale si waarabu nina uhakika NK watamsuprise Trump mule mule USA nina uhakika asilimia kubwa, msizani watu wenye akili wapo US peke yake mpaka NK Kuna vichwa vulivyoshindika, kuunda rocket hizi, mabomu ya nyuklia si swala dogo (kwa aliyesoma physics ya A-level atanielewa). Alafu nyuklia huwezi izuia, hata kuliintercept bomu bado mionzi ina kuua na bado yale mabaki yake kila baada ya half life time period (kwa wale waliosoma modern physics watakuwa wanajua graph ya radioactive material watanielewa) yake ikifikia inaachia mionzi na ndio maana miji ya Hiroshima na Nagasaki hawakai watu sababu ya yale mabaki, athari yake inaenda vizazi na vizazi. Hii vita si ya kushabikia na acheni kuvisikiliza hivi vyombo vya habari vya magharibi, vinawadanganya kwani mambo ya kijeshi ni siri, haujui NK ana nini na Marekani akiingia kichwa kichwa watatafutana alafu wasijue pakutokea, huku bado haujazungumzia athari atakazo zipata Japan na SK.
 
Back
Top Bottom