alvinroley
Member
- Sep 30, 2016
- 71
- 251
Sean Spicer ametamka wazi kuwa maandalizi ya mwisho yapo tayari kuivamia North Korea. Huyu ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano cha White House mjini Washington anafanya press conference muda huu. Press iko live Fox News. Anasema marekani inalazimika kuingia vitani ili kulinda national interest.
Wakati huo huo Leo Rais wa North Korea bwana Kim ameamrisha majenerali wa jeshi lake kuunda kikosi kazi haraka cha makomandoo watakaokabili mashambulizi ya dharura ya marekani. Kikosi hiki kitajaa makomandoo wa Kikorea kutoka katika majeshi na kada zote za kitaalamu jeshini. Hali ni tete