buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,007
- 7,118
Kwa nijuavyo mm marekani hanaga utani na mtu anaetaka kumshambulia tena kuishambulia Pentagon
Yani ukionyesha tu dalili za kuleta uchoko lazima akufate akusambaratishe
Anachoshindwa kwa North Korea ni ile technologia anayotumia mapanki ni hatari sana akiamua kujib mapigo
Msichokijua ni kwamba North Korea imejifunza yenyewe teknolojia zake xo hajacopy na kupest
Embu jarb tu kufiria wakati tupo secondary unakuta shule nzma hakuna walimu wa masomo ya sayansi ila kuna vichwa kama mimi tulikua tunajisomea wenyew yan kavu Kavu bila mwongozo wa spika na bado tukatusua
Sasa hicho ndo kilichopo North Korea
Hapo marekani anashindana na wazee wa msuli chimbo lazma watamzid akili coz wamezoea kutafuta material wenyew
Kwa msiojua jaman hakuna ishu ngumu kama kuunda mfumo wa engine lakini hawa mabwana kila siku vinabadili engine za rocket na vinagundua Tabia Za atoms na plutonium kila kukicha.
===
US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani
James Woolsey, Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na Peter Vincent Pry, Rais wa Kamisheni ya EMP (ectromagnetic pulse) iliyotwikwa jukumu la kupambana na tishio lolote la kielektroniki dhidi ya nchi hiyo wamesema kuwa, teknolojia ya Korea Kaskazini ni ya hali ya juu yenye uwezo wa kufyatua mabomu ya atomiki ndani ya ardhi ya Marekani.
Makala iliyochapishwa na jarida la The Hill imewanukuu maafisa hao wawili wa Marekani wakikiri kuwa, serikali ya Washington imekuwa ikitoa taarifa za kuwahadaa wananchi kuhusu uwezo wa kijeshi wa Korea Kaskazini, lakini ukweli wa mambo ni kuwa, Pyongyang ina uwezo wa kutumia mfumo wa kisasa wa kurusha makombora ya balestiki wa Intercontinental Ballistic Missile (ICBM), wenye uwezo wa kuua asilimia 90 ya Wamarekani.
Kombora la balestiki la ICBM la Korea Kaskazini
Hivi karibuni Korea Kaskazini sambamba na safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson katika Peninsula ya Korea, ilifanyia majaribio mfumo wa kisasa wa injini za makombora yake ya balestiki, suala ambalo limewatia tumbojoto viongozi wa Washington na Seoul.
Hadi sasa Pyongyang imewekewa vikwazo mbalimbali na Umoja wa Mataifa kutokana na miradi yake ya nyuklia na makombora hatari ya balestiki.