Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Majeshi ya korea ya kusini na ya USA yazidi kufanya mazoezi ya Kivita na hali yazidi kuwa tete maneno ya kurushiana baina ya pande zote mbili Kati ya USA na North Korea Huku ndege 100 kutoka America Za kivita zikiwasili Uwanja wa mapambano source ni BBC FOX NEWS ALJAZEERA