Vituo vya CNN, ABC, CBS na NBC wagoma kurusha tangazo la kuisifia serikali ya Rais Trump kwa matokeo chanya ya siku 100 ya awali madarakani
Tangazo hilo lililotolewa tarehe 1 May 2017...
Rais Trump amesema kuwa ana matumaini makubwa kwamba sheria itakayochukua mahala pake huduma ya afya ya Obamacare itapitishwa katika bunge la seneti, baada ya kuidhinishwa na bunge la uwakilishi...
Ndege ya kwanza ya kivita yenye technologia kubwa kuliko zote duniani F-35 Stealth kutua ndani ya IAF wiki hii na nyingine 30 kutua hadi ifukapo 2018
RADA ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE
Jaji mweupe nchini Afrika Kusini amejiuzulu baada ya kutoa matamshi mwaka jana katika mitandao ya kijamii kuwa matukio ya ubakaji ni utamaduni wa watu weusi.
Jaji huyo wa mahama kuu Mabel Jansen...
Mwanajeshi wa Marekani ameuawa wakati wa operesheni ya kukabiliana na wanamgambo wa al-Shabab, jeshi la Marekani limesema.
Mwanajeshi huyo aliuawa Alhamisi umbali wa takriban kilomita 64...
Wakuu Sana.
Leo nimesoma baadhi ya habari kutoma kwa vyombo vya kimataifa hasa uingereza na Habari nayoona imepewa uzito ni kikao cha gafla cha wafanyakazi wa Malkia wa Uingereza katika moja ya...
Nchini Rwanda wagombea wa kiti cha urais katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa 8 wanazidi kujitokeza. Diane Rwigara ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais.
Huyu ni Binti wa mfanyabiashara...
Waziri wa Ujenzi wa Somalia ameuawa jioni hii kwenye lango la Ikulu na walinzi wa Rais wa Somalia kimakosa baada ya kudhania gari aliyekuwa amepanda Waziri huyo lilikuwa la magaidi wa Alshabaab...
August (2016) ( 9 Months ago)
Japan’s biggest airline has started grounding its fleet of Boeing 787 Dreamliners after discovering a problem with the plane’s Rolls-Royce engines, in another...
Habari zinaeleza juhudi Za kumwondoa Kim madarakani zimeanza kuzaa matunda hii ni mara baada ya majaribio kadhaa ya silaha Za nyuklia za Korea ya kaskazini kushindwa na kudondoka bila mafanikio...
Hillary mpaka Leo anasema kashindwa kwa Sababu Mara Russia ,FBI,media was tough on her hajilaumu mwenyewe.Inaelekea haja move on .Sasa wewe unahisi kitu gani kilichosababisha aanguke
Kwa Mara nyingine tena vyombo vya habari vya kiarabu vimesema milipuko mikubwa mitano ilitikisa jiji zima na miale mikubwa ya moto kuonekana kila kona ya mji mashuhuda wamasema waliona moto na...
Mume wa Malkia Elizabeth, Phillip ameamua kupumzika na kuacha majukumu yake ya kiufalme.
Kwa mujibu wa jumba la kifalme ya Buckingham, uamuzi huo ulichukuliwa na Mfalme Phillip mwenyewe na...
Waziri Mkuu, Hassan Khayre amemfuta kazi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nur Farah Jimale ili kupisha uchunguzi kufuatia mauaji ya Waziri Kijana zaidi Abass Siraj.
Hatau hii imepata baraka...
SHANGHAI (AP) — The first large Chinese-made passenger jetliner took off Friday on its maiden test flight, a symbolic milestone in China’s long-term goal to break into the Western-dominated...
Idadi ya vifo katika kipindi cha mwezi mmoja nchini Venezuela imeongezeka na kufikia zaidi ya watu 30, idadi hiyo imeongezeka baada ya waandamanaji kupambana tena na polisi wa kuzuia ghasia siku...
Taarifa kutoka BBC news zinaeleza kua Donald Trump amefanya mazungumzo kwa mara ya kwanza na rais Putin wa Urusi juu ya kuweza kumkabili Kim Jong un ambae kwa Sasa ni tishio la aman na usalama wa...
Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini Somalia, ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu muda mchache baada ya kuzindua mradi wa ujenzi wa jengo kwa ajili ya watumishi wa umma.
Abas Abdullahi...
Habari zilizotufikia ni kwamba mtoto wa rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda aitwaye Andrew kutokana na shutuma za ufisadi aliofanya chini ya utawala wa baba yake.
Kwa mujibu wa taarifa toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.