Ndege ya Jeshi la Myanmar yapotea na abiria 116

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,472
2,000
Ndege moja ya jeshi la Myanmar, iliyokuwa imewabeba zaidi ya watu 100, imetoweka angani.

Hayo ni kwa mjibu wa taarifa kutoka kwa wakuu wa nchi hiyo.

Ndege hiyo ya kijeshi, ilikuwa ikipaa kati ya Yangon (Rangoon) na mji ulioko kusini mwa nchi hiyo wa Myeik. Shughuli za kutafuta na kuokoa manusura zinaendelea.

"Tulipoteza mawasiliano na ndege hiyo mwendo wa saa nne na dakika 35 leo asubuhi saa za Afrika Mashariki [07:05 GMT], pale ndege hiyo ilipofika maili 20 magharibi mwa mji wa Dawei," jeshi lla Myanmar limesema kwa njia ya taarifa..

Kulikuwa wana abiria 105 na wafanyikazi 11 kwenye ndege hiyo, duru kutoka uwanja wa ndege zimeiambia shirika la habari la AFP.

=====
A Myanmar military plane is missing, the national army chief confirmed in a statement. It’s reportedly carrying up to 116 passengers.
A search and rescue operation is underway after the plane dropped off the radar on Wednesday while flying over the Andaman Sea between the southern city of Myeik and Yagon.

"Communication was lost suddenly at about 1:35pm when it reached about 20 miles west of Dawei town," the statement read, according to local media.


✔@AFP

[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG] Myanmar military plane carrying 116 missing: army chief,airport source

Army planes and helicopters are searching for the aircraft, which local media reports is carrying more than 100 passengers and crew, although the exact figure has not been confirmed. It’s understood the plane is a Chinese-built Shaanxi Y-8.


✔@JonahFisherBBC

BREAKING: Burmese army planes and helicopters are searching for a military aircraft over southern Myanmar. Local reports say >100 on board.

✔@ayleighk
90 military personnel & family members plus 14 cabin crew were on board missing Y-8-200F, says CinC. Search & rescue operation underway


It’s understood the plane, a Chinese-built Shaanxi Y-8, could be carrying both military personnel and their relatives.
 

Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,789
2,000
Hizi ndege hizi, ukute imepitilizia sayari nyingine au mwezini kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom