Al Shabaab takes over Somali town, claims killing 61 in military base attack

miss zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,770
2,000
257365image-resizer.jpg
SOMALIA: Wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua Askari 61 wa eneo lisilo na mamlaka kamili la Puntland. Wafanikiwa kuteka sehemu ya mji.

Taarifa zinasema Al Shabaab waliuvamia mji wa Af Urur asubuhi ya leo ambapo waliwakuta Askari wachache ndipo walifanikiwa kuwaua na kisha kuuteka mji huo.

Hadi sasa ni ngumu kutambua ukubwa wa madhara ya uvamizi huo kwakuwa wapiganaji wa Al Shabaab walikata mawasiliano ndani ya mji huo.

====

Al Shabaab militants captured a town in Somalia's semi-autonomous Puntland region on Thursday, a senior official said, and the group said it had killed at least 61 soldiers in the fighting.

"Al Shabaab attacked Af Urur town this morning. There were few soldiers there and thus al Shabaab captured the town. It is difficult to know the casualties because the telecommunications were cut off," Bari region governor Yusuf Mohamed told Reuters.

The al Qaeda-linked group said it had also killed 61 soldiers after over-running a military base in the town.
"The number could rise since the operation is still underway," Abdiasis Abu Musab, al Shabaab's military spokesman said in a statement.

Musab said their fighters had also seized weapons and vehicles from the base.
Al Shabaab's insurgency aims to drive out African Union peacekeepers, topple Somalia's Western-backed government and impose its strict version of Islam on the Horn of Africa state.

Source: Reuters
 

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,364
2,000
Wapiganaji wa kiislamu wa Al -Shabab, wamewaua askari 61 kwenye kambi moja ya kijeshi kaskazini mashariki mwa Bosaso nchini Somalia.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,192
2,000
Duh hadi huu mwezi uishe vichwa vingi vitakuwa vimekatwa. Mwezi wa kumwaga damu huu kwa magaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom