Ndege ya abiria yapotea na abiria 100 Mynmar

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,651
2,000
Ndege ya Jeshi iliyobeba watu 100 imepotea angani mchana huu huko nchini Mynmar. Imepoteza mawasiliano na waongoza ndege.

========

A plane has vanished with 116 people on board, according to reports.

The plane left the southern coastal town of Myeik in the early afternoon and was bound for Myanmar’s largest city of Yangon, but it lost contact about 20 miles west of the town of Dawei and has been declared missing, the military said.

Military plane carrying 116 people disappears over Myanmar
 
BigBro

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,449
2,000
Ndege ikipoteza tu mawasiliano ni msiba, Mungu awasaidie. Halafu nina safari next week kutumia usafiri huu, da! Mungu nilinde
 
mendex

Senior Member
May 13, 2015
156
250
Itakua imeanguka hyo... Kama ndege imepoteza mawasiliano/haionekan kwenye radar first thing to do ni ku declare missing. Then inaanza kutafutwa physically
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom