izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,409
Nchi ya Qatar imewekewa vikwazo vya kiuchumi na kidemocrasia na ndugu zao yani nchi za Bahrain,Saudi Arabia & Egypt na kumekuwa na wasiwasi zikaongezeka nchi zingine ndani ya Middle East kuiwekea vikwazo Qatar lakini kuna vitu vinanishangaza sana juu ya madai ya hawa majirani na ndugu(Waarabu) wa nchi ya Qatar
Middle East ni eneo lenye ukubwa wa 8,804,395 sq km sawa na 3,596,959 sq miles wakimiliki 6.2% ya ardhi ya Dunia huku nchi kubwa ikiwa ni Saudi Arabia ikiwa na ukubwa wa 1,960,582 sq km sawa na 756,985 sq miles na nchi ndogo ikiwa ni Baharain ikiwa na ukubwa wa 665 sq km sawa na 257 sq miles ndani ya Middle East kuna nchi 16
Katika nyanja ya uchumi Saudi Arabia ndio inaongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa wa GDP $1.796 trillion (PPP 15) Purchasing Power Parity nchi ya pili ikiwa ni Iran sasa tukiangalia uchumi wa Bahrain ni GDP $64.8 billion na Egypt ni $1.198 trillion huku nchi tengwa ya Qatar ikiwa na GDP ya $320.8 billion mwaka 2010 Qatar ndio ilikuwa nchi inayokuwa haraka kwa uchumi wake ikiwa mbele ya Singapore natoka mwaka 2008 Qatar imekuwa ndani ya tatu bora kwa nchi ambazo uchumi wake ukipanda kwa kasi ikiwa na watu 2.4 milion na eneo la 11,437 square kilometers sawa na 4,416 square miles ikiwa na utajili wa GAS na mafuta huku wakitarajia kuingiza mabilion ya dola ktk kuhost kombe la Dunia
kumekuwa na kuoneana wivu kwa mataifa ya kiarabu ktk nyaja ya uchumi na nguvu za kijeshi kwani ni ukweli usiofichika kuwa waarabu tabia zao ni kama waafrica na hii inatokana na muingiliano mkubwa wa kitamaduni kati ya waafrica na waarabu, kwa maana Lugha inayozungumzwa sana Africa ni Kiarabu ikifatiwa na Kiswahili sasa waarabu wamejawa na roho ya kwanini, Nchi ya Qatar ni nchi ambayo imekataa unafiki wa waarabu wenzao kwa kufanya mambo yake yenyewe na ktk eneo la Middle East Saudi Arabia wana mgogoro mkuwa na Iran ambao umekuwa mkubwa na unaletwa kwa sababu mbalimbali kubwa ni kidini na kugombania Ushawishi mkubwa wa eneo zima la Middle East, sasa Qatar ndio nchi pekee yenye ushirikiano na nchi ya Iran kitu ambacho Saudi Arabia hataki na kutokana na Ushawishi wa Saudi Arabia kwa waarabu wenzie wameamua kuitenga Qatar kwa kile kinachosemekana kufadhili magaidi huku wakimuacha na kujipendekeza kwa mfadhili mkubwa wa vikundi vya kigaidi Duniani ambae ni jirani yao
Iran na Israel ndio Biggest military blocks ktk Middle East huku Saudi Arabia ndio Biggest Economic Country ndani ya middle east. Kama ilivyo kawaida ya madume wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja Saudi Arabia na Kuwait tayari wameshajikabidhi mikononi mwa Waisrael na Wazungu wa Ulaya na US na Iran wana matatizo ya kidiplomasia na Saudi Arabia kutokana na matatizo yao ya kiimani(madhehebu ya dini) na siku zote imani ina nguvu zaidi ya kila kitu ndio maana unaona kwenye imani tu ndipo Prof anakubali kuongozwa na darasa la saba (viongozi wa kidini) na hii inapelekea Waarabu kumwadhibu mwenzao kwa sababu za kimkakati zaidi kuliko sababu za kijamii na kiusalama
Malcom Lumumba