2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Trump a.k.a tingatinga alihudhuria mkutano wa falme za waarabu. Hakumung'unya maneno kama mtangulizi wake Obama. Kikubwa aliwataka waufute ugaidi. Ofcause wale watu wa kebo nyuuz democrats CNN walidisi kua ugaidi hauwezi sepa. Huku Wakipewa sapoti ya propaganda na aljaziira.Naona wasaudi wamedhamiria kiukweli this time kuufuta.
Wademocrats wameanzisha propagada kua Kale ka Qatar katamfuat Iran na Hizbollah. Em wathubutu waone. !
Jeshi kubwa zaidi arabuni la USA lipo pale Qatar limepiga kambi. Qatar wajaribu kuifuata iran waone jinsi USA atakavyokinukisha kuliko Russia ilivyoifanya Crimea ya Ukraine