Umoja wa Ulaya(EU) umekataa ombi la #EAC la kuiondolea vikwazo Burundi, yasema vikwazo vitaendelea hadi hali ya kisiasa itakapobadilika nchini humo.
Juzi katika mkutano wa kukabidhiana uenyekiti...
habarini wana jamvi
leo nimeona niwaletee japo kwa kiduchu sababu ambazo wengi zmetufanya tuipende north korea na sio us
first of all watu wengi wamechoshwa na ukoloni mambo leo.. kwa wale...
Rais wa Marekani Donald Trump anazuru Israel na Maeneo ya Wapalestina leo, akiendelea na ziara yake ya kikazi katika maeneo ya Mashariki ya Kati.
Atafika maeneo hayo akitokea Saudi Arabia...
Mafundi mchundo(Technicians) na wanasayansi wakimshangilia kiongozi wao KIM baada ya kutoka mafichoni kwa ushindi mkubwa wa jaribio la kombora lililofanikiwa siku chache zilizopita.
KIM...
When Israeli forces showed up last week to arrest 66-year-old writer Ahmad Qatamesh at his home in the occupied West Bank, his wife says she was overcome with shock and confusion.
"Why now? Why...
Bunge la utawala wa ubaguzi wa rangi wa Israel Knasset, limepasisha kwa haraka katika hatua ya kwanza, mswada wa kibaguzi unaojulikana kama 'Taifa la Kiyahudi.'
Bunge hilo lilipasisha kwa pupa na...
Image captionJapan imeripoti rekodi ya kiwango cha juu cha ajira kwa raia wake wanaohitimu elimu ya chuo kikuu hasa vijana.
Japan imeripoti rekodi ya kiwango cha juu cha ajira kwa raia wake...
Gazeti la New York Times limeripoti kuwa China, imewauwa au kuwafunga jela majasusi kati ya 18 au 20 hivi wa CIA, katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kulemaza kabisa shughuli za Marekani...
Kuna taarifa kuwa korea kasikazini imefyatua kombora mchana huu lililosafiri umbali wa km 500 (mile 311) kombora hilo halijajulikana ni aina gani nitawaletea taarifa kamili baadae
Source: South...
Katika ziara itakayomoeleka Donald Trump katika mataifa kadhaa matano kuanzia Saud Arabia mpaka Brussels, Jerusalem ikiwamo imeonekana kupokelewa kwa mtazamo tofauti ukilinganisha na msimamo wake...
Marekani ipo mbioni kukamilisha dili la silaha kwa Saudi Arabia lenye thamani zaidi ya dola billion mia moja($100B),hayo yamesemwa na afisa kwenye Ikulu ya Marekani ambaye jina lake halikutajwa...
Mimi naomba kuuliza kama Tanzania tunajua kufuatilia maadui wa nchi au tunapoteza muda kufuatilia udaku na kuwaza ngono kila wakati.
Naamini hata raisi magufuli hajui kinachoendeea marekani...
Breaking News: Firing that nut job!
WASHINGTON — President Trump told Russian officials in the Oval Office this month that firing the F.B.I. director, James B. Comey, had relieved “great...
Wadau naomba kuuliza hivi ziara ya kwanza nje Marekani tangu awe rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuchagua Saudi Arabia hii ina maana gani kwa siasa za dunia hii na mashariki ya kati
*TIPS ON HOW TO OVERCOME GOING LATE TO CHURCH*
1. Iron all your outfit before preparation day
2. Polish / clean footwear before sunset on preparation day.
3. Get your Bible/ handbook/ tablet/...
Makomando wa kimarekani Wamemaliza DRILL ya Zoezi maalumu liitwalo "Warrior Strike 7" huko South Korea katika mji wa uijeongbu kambini kwao Stanley.....
Zoezi hilo limehushisha meli za kivita za...
Madiwani nchini sweden wametaka serikali itoe muda wa saa moja tuu kila mwezi kwa ajili ya kufanya ngono, wakifafanua madiwani hao wamesema kuna wakati watu wanakuwa na stress sana hivyo kufanya...
Ni kombora ambalo US walilifuatilia lakini hawajui lina sifa zipi.
Japan wamelaani sana jaribio hilo, ambalo liliishia kwenye bahari karibu na japan
Huu ni muendelezo wa jaribio la Makombora bila...