International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Raisi wa marekani Donard J Trump kesho anatarajia kuhudhuria kwa Mara ya kwanza mkutano wa G7, mda mfupi uliopita Donard ametoa hotuba fupi mbele ya viongozi wa NATO huko BRUSSELS.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heroes don't kill innocents, they save them - Donald Trump Kwa mara ya kwanza ndege imeruhusiwa kuruka kutoka Saudi Arabia ikaenda Israeli moja kwa moja. Hakuna kiongozi aliyewahi kutembelea...
14 Reactions
62 Replies
10K Views
kwa mtu anaetaka kufungua kampuni ya ujenzi na hana cheti pendekezi, anitafute kwa email wilsonkaisery@gmail.com na kwa simu namba 0679541348 tufanye mazungumzo ya kina.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Director wa Defense Interagency Agency (DIA) wa marekani ameeleza juu ya hofu yake kwa NK kama watashindwa wakagua na kuwasimamisha juu ya mpango wao wa kutengeneza ICBM na nuclear capacity kwa...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
UFILIPINO: Padre wa Kanisa Katoliki pamoja na waumini kadhaa wametekwa na kundi lenye uhusiano na Dola ya Kiislam(ISIS). Aidha mmoja wa maafisa wa Polisi amechinjwa. Rais Rodrogo Durtete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo North korea imedhaniwa kutuma chombo cha anga ambacho hakijafahamika hadi sasa, south korea imetumia mashine gun kushambulia chombo hicho kilichokuwa kimevuka mpaka wao, lakini hawajasema...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
During the May 10 meeting at the White House with Russia’s Foreign Minister Sergei Lavrov and Ambassador to the U.S. Sergey Kislyak, Trump began describing details about an Islamic State terror...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
President Donald Trump gave a new meaning to the phrase “America first” on Thursday. Duh! Huyo ndiye Donald Trump! In the midst of his first trip overseas as president, Trump raised some...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Haki miliki ya pichaTWITTER/@ROCKETLABUSA Image captionRoketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New Zealand Kampuni moja ya Marekani imerusha roketi kuenda anga za juu kutoka nchini New Zealand...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakati Salama Ali alipoanza kuchunguza kutoweka kwa ndugu zake wawili wadogo mwaka uliopita, aligundua jambo la kutamausha sana. Sio vijana wa kiume pekee waliofunzwa itikadi kali ambao walikuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tangu binadamu alipofanikiwa kuunda ndege na kupaa angani, wataalamu wamekuwa wakijitahidi kuunda ndege kubwa na kubwa zaidi. Wakati wa Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia, majaribio ya kwanza ya...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Rais wa Brazil Michel Temer amesema kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na kashfa ya malipo ya fedha nyingi kama yaliyochukuliwa kama rushwa. Katika mahojiano mafupi kwa njia ya Televisheni, Temer...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Brazil Michel Temer ameyasambaza majeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Brasilia, baada ya waandamanaji kuanza kulichoma moto jengo la serikali na kuharibu mengine. Maafisa wanasema hatua...
1 Reactions
1 Replies
969 Views
Kufuatia mlolongo wa mashambulio yatokanayo na ubaguzi wa rangi dhidi ya Wanafunzi wa Kiafrika nchini India, Jumuiya ya Wanafunzi wa Afrika(AASI) imetishia kuandika malalamiko rasmi kwenda Umoja...
8 Reactions
151 Replies
18K Views
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza kujibu mashtaka yanayomkabili, tangu alipokamatwa mwezi Machi mwaka huu. Mwanasiasa huyo aliyeondolewa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ni raia wa Ethiopia, ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa Shirika la afya duniani (WHO). Uteuzi huo unamfanya Tedros kuwa muafrika wa kwanza kuongoza kitengo hicho...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio Jumatano alfajiri eneo la Liboi Kaskazini Mashariki mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia. Duru za usalama...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Takribani watu 12 wamefariki na 30 kujeruhiwa baada ya basi kuanguka umbali wa mita 90 kwenye bonde katika eneo la milima karibu na mpaka wa Guatemalan kusini mwa Mexico. Ajali hiyo ilitokea...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Binafsi siamini kabisa hili swala la ugaidi ni kweli ni ugaidi ambao Wazungu wenyewe hawahusiki nao! Hawa Magaidi wajulikanao kama ISIS, Alshabaab, Boko haram au sijui Taliban siamini kama ni...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais Durtete ambae ni mzaliwa na kisiwa cha Mindanao, ametangaza kuidhinishwa sheria hiyo ambayo huenda ikadumu kwa mwaka mmoja katika kukabiliana vikali na ugaidi. Ghasia zilizuka katika mji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom