mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Mafundi mchundo(Technicians) na wanasayansi wakimshangilia kiongozi wao KIM baada ya kutoka mafichoni kwa ushindi mkubwa wa jaribio la kombora lililofanikiwa siku chache zilizopita.
KIM almaharufu uswahilini kama Mzee wa Kiduku akiwapongeza wanasayansi wake na mafundi mchundo."Walifanya kazi kwa bidii kufanikisha kitu kikubwa"
Walipokelewa kama mashujaa baada ya kutua jijini/mjini Prong yang
Rais wa korea Kaskazini KIM akikagua Kombora hilo Hwasong-12 dakika chache kabla halijatestiwa katika mahala pasipofahamika.
KIM akiwa anacheeka baada ya mafanikio ya KOMBORA lake, huku TRUMP kila siku akizidi kufifia na kupiga mikwara isiyokuwa na vitendo...
Hadi sasa, US wamebaki hawaelewi wachukue hatua gani, maana mikwara yote inaonekana inagonga mwamba kwa Mzee wa kiduku.
chanzo:
The Sun