Kajipendekeza au alipigiwa simu?Teh teh huyu si juzi tu ameenda kujipendekeza white house, leo amegeuka tena bhasi kumbe na yeye ni double talk!
Alishamruhusu kitambo kipindi ana ugomvi wa maneno na obamaHuyu si juzi tu alikua akiilalamikia China kuhusu uvuvi haram kwenye bahari ya Philippines
Sijakuelewa point yko... Alimruhusu kuhusu nnAlishamruhusu kitambo kipindi ana ugomvi wa maneno na obama