Fungua link hii uone jinsi kagame alivyo katili na anavyo penda starehe, pia asivyo jali shida za wengine,
Moja ya walinzi na dereva anaelezea
Nimetuma link baada ya page kuzuia content...
By Chris Kahn
NEW YORK (Reuters) - Public approval of President Donald Trump has dropped to its lowest level since his inauguration, according to a Reuters/Ipsos poll released on Friday, after...
Marekani sasa kukubali kuzungumza na Korea ya Kaskazini endapo tu nchi hiyo yenye misimamo mikali juu ya uundaji na utengenezaji wa makombora ya masafa marefu ya kujilinda ya [ICBM -...
Nisiseme mengi, Ila baada ya Uchaguzi wa 2016 Hapa Marekani, Kumezuka Mambo mengi sana, Shutuma, Kashfa Usaliti, Madai ya Njama, Kuingilia Madaraka ya Upelelezi wa Urusi kuvuruga Uchaguzi...
US President Donald Trump has arrived in Saudi Arabia on the first leg of his first foreign trip since taking office, in a crucial test abroad as political scandals mount at home.
Trump will be...
Tangu zamani kumekuwapo shinikizo kutoka Western countries kwa mataifa ya yaliyo na viongozi waliokaa madarakani kwa mda mrefu kuondoka...
Shinikizo hilo lilionekana kuzaa matunda hapa kwetu...
Nimejaribu kufatilia mwenendo wa Mr. President D. J. Trump, nimeshindwa kupambanua je vitendo vya rais huyo kupingana na kumwona mtangulizi wake Mr. B. H. Obama kana kwamba c chochote ktk yale...
Hii ndiyo kusema kuwa N/korea amehamishia mahusiano makubwa ya kibiashara kwa Urusi? Maana imeripotiwa leo kuwa feri yenye uwezo wa kubeba raia 200 na tani 1000 za mizigo itafanya safari sita kwa...
SWEDEN: Mwendesha Mashtaka aachana rasmi na uchunguzi uliodumu kwa miaka 7 wa tuhuma za ubakaji dhidi ya muanzilishi wa WikiLeaks.
Bwana Julian Assange amekuwa akijificha ndani ya jengo a Ubalozi...
In April 2017 US Secretary of State Rex Tillerson stood up one of Africa’s most powerful people, African Union (AU) Commission Chairperson Moussa Faki. Tillerson invited Faki to Washington for a...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Venezuela Henrique Capriles amesema alipokonywa hati yake ya kusafiria uwanja wa ndege alipokuwa akijiandaa kwenda New York.
Alipanga kukutana na viongozi wakuu...
Besieged from all sides, the Trump administration appointed former FBI Director Robert Mueller Wednesday evening as a special counsel to oversee the federal investigation into allegations Russia...
Jumla ya visa 18 vya ugonjwa wa Ebola vimeripotiwa nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo kwa mujibu wa shirika la afya Duniani WHO.
Vifo vya watu watatu vimeripotiwa kutokana na ugonjwa huo...
Kwa jinsi mambo yanavyojiri huko USA, sidhani kama Raisi mpya wa Marekani, Donald Trump, anaweza hata kumaliza miaka minne ya utawala wa awamu ya kwanza tu, achilia mbali kushinda awamu ya pili...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameteua baraza la mawaziri lenye usawa wa kijinsia kuambatana na ahadi ya mapema ambapo 11 kati ya mawaziri 22 ni wanawake.
Sylvie Goulard ndiye waziri mpya wa...
Mjadala wazuka kuhusu afya ya kiakili ya Trump
17 Februari 2017
Wataalamu wa afya ya kiakili wameandika barua wakisema Trump hafai kuwa rais
Ni suala ambalo hungetarajia watu walizungumzie hasa...
Inasemekana wahusika wa mauaji wa Rais wa zamani wa DRC wametoroka jela.
Convicts in Kabila assassination escape | IOL
Hapa naona ule umuhimu wa utekelezwaji wa adhabu ya kifo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.