Trump Told Russians That Firing ‘Nut Job’ Comey Eased Pressure From Investigation

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,276
23,227
Breaking News: Firing that nut job!

merlin-to-scoop-121875371-2431-master768.jpg

WASHINGTON — President Trump told Russian officials in the Oval Office this month that firing the F.B.I. director, James B. Comey, had relieved “great pressure” on him, according to a document summarizing the meeting.

“I just fired the head of the F.B.I. He was crazy, a real nut job,” Mr. Trump said, according to the document, which was read to The New York Times by an American official. “I faced great pressure because of Russia. That’s taken off.”

Mr. Trump added, “I’m not under investigation.”

Kitanzi kinazidi kukaza na kuna uwezekano mkubwa kwa Urais wa Trump kuyeyuka kama atapatikana na hatia ya kuzuia haki isitendeke...Obstruction Of Justice. Uchunguzi unaendelea!
 
Hizo statements/comments Trump alizisema saa ngapi? Nani anaweza kuthibitisha neno kwa neno kwa kile alichokisema TRUMP - vyombo vya habari nchini mwake vya ajabu sana - si Trump alipiga marufuku MSM za nchini mwake wasikanyage Ikilu wakati wa ugeni wa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi one Lavrov - sasa NYT habari za kujua Trump,Lavrov na Balozi wa Russian nchini Marekani walizungumza nini, hizo habari hizo walizidaka kupitia media hipi?? WiFi!!! - Hata mtu mbumbumbu anajua kwamba madai ya NYT ni uzushi mtupu. Ni mahili sana kuzuga wasomaji eti habari hizi zimepatikana kutoka kwenye reliable sources ambao hawataki majina yao yatajwe - my foot.

Media za Marekani siku hizi credibility yao imeshuka exponetially especially linapo kuja suala la Trump, wapo tayari ku-sucrifice heshima zao ili wamukomoe Trump na Admni. yake - they are prepared to manufacture uzushi wakishirikiana na baadhi ya Wabunge vichwa maji ili wapate sababu za kumu impeach TRUMP - hiyo ndiyo long term plan yao.Trump awezi kuwa mjinga wa kubwabwaja habari kuhusu Russia wakati ana ugeni wa Russia - he knew mijitu inaweza kum-misqoute 4 political gain.

Watu wanacho sahau ni kwamba TRUMP is unquestionably an Intelligent man ame-run successful Business Empire miaka nenda rudi wakati akina Hillary na mumewe wameshindwa hata ku-run Law firm yao kiufanisi, wanaishia kuanzisha a so-called Clinton Foundation ambao ni mfuko wa kitapeli tu wa kuwazuga wafanya biashara maarufu, Masheikh wa Kiarabu na Falme za Kiarabu wachangie Foundation ya Clinton - pesa zinazo patikana/changwa wanakwenda kununulia ma Yatch na kufanya harusi ya kifahari ya binti wao, hawana morals hata kidogo - hivi sasa wanaji indulge kwenye campain chafu za chini chini za kujaribu ku-unseat TRUMP washirikiana na MSM na tajiri SOROS - behaving like mafiosa.
 
Trump Tangu Anachukua Form Za Kuteuliwa Na Republican Watu walikuwa na Negative Attitudes juu yake ...

Amini jamaa Hakuna atakaemzuia
Hata rais wa korea kusini, brazil watu walianza hivi hivi na kuna ambao hawakuamini kama wewe mwisho wao wako jela.
 
Marais wa US waliopita na tofauti zao na Russia saizi wanakuna vichwa kuona haya yote.
Hata Warusi wenyewe sijui watashangaa, cos wanapata vya jikoni toka kwa mwenye nchi.
 
Hizo statements/comments Trump alizisema saa ngapi? Nani anaweza kuthibitisha neno kwa neno kwa kile alichokisema TRUMP - vyombo vya habari nchini mwake vya ajabu sana - si Trump alipiga marufuku MSM za nchini mwake wasikanyage Ikilu wakati wa ugeni wa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi one Lavrov - sasa NYT habari za kujua Trump,Lavrov na Balozi wa Russian nchini Marekani walizungumza nini, hizo habari hizo walizidaka kupitia media hipi?? WiFi!!! - Hata mtu mbumbumbu anajua kwamba madai ya NYT ni uzushi mtupu. Ni mahili sana kuzuga wasomaji eti habari hizi zimepatikana kutoka kwenye reliable sources ambao hawataki majina yao yatajwe - my foot.

Media za Marekani siku hizi credibility yao imeshuka exponetially especially linapo kuja suala la Trump, wapo tayari ku-sucrifice heshima zao ili wamukomoe Trump na Admni. yake - they are prepared to manufacture uzushi wakishirikiana na baadhi ya Wabunge vichwa maji ili wapate sababu za kumu impeach TRUMP - hiyo ndiyo long term plan yao.Trump awezi kuwa mjinga wa kubwabwaja habari kuhusu Russia wakati ana ugeni wa Russia - he knew mijitu inaweza kum-misqoute 4 political gain.

Watu wanacho sahau ni kwamba TRUMP is unquestionably an Intelligent man ame-run successful Business Empire miaka nenda rudi wakati akina Hillary na mumewe wameshindwa hata ku-run Law firm yao kiufanisi, wanaishia kuanzisha a so-called Clinton Foundation ambao ni mfuko wa kitapeli tu wa kuwazuga wafanya biashara maarufu, Masheikh wa Kiarabu na Falme za Kiarabu wachangie Foundation ya Clinton - pesa zinazo patikana/changwa wanakwenda kununulia ma Yatch na kufanya harusi ya kifahari ya binti wao, hawana morals hata kidogo - hivi sasa wanaji indulge kwenye campain chafu za chini chini za kujaribu ku-unseat TRUMP washirikiana na MSM na tajiri SOROS - behaving like mafiosa.

Mkuu first of, this's a "quoted statement"
Right there unaona uzito wake.
NT wanaweza kupika allegations kubwa kiasi hiki?
This's a National Security Issue, hata kama NT or what you call them, (Western Media) wanamchukia Trump..not to this extent.

And then 'Twitter-in-Chief' hajatoa tu tamko kuhusu haya, na yalivyo mazito.
Badala yake Spicer ndio kaongea but, "..did not refute the Times story.."
Na kwa uzito wa habari, WH wangeweza hata kwenda kisheria zaidi against the NT or come out with a stronger statement to refute this.
 
President Trump can't resign simple simple, he came from the environment that no one believed,
 
Back
Top Bottom