Ziara ya Donald Trump Saudia yapokelewa kwa nsisimko wa aina yake.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,895
FB_IMG_1495346139563.jpg
FB_IMG_1495345034251.jpg
FB_IMG_1495345029494.jpg
IMG_20170521_085237.JPG
IMG_20170521_085217.JPG
FB_IMG_1495346139563.jpg
Katika ziara itakayomoeleka Donald Trump katika mataifa kadhaa matano kuanzia Saud Arabia mpaka Brussels, Jerusalem ikiwamo imeonekana kupokelewa kwa mtazamo tofauti ukilinganisha na msimamo wake juu
FB_IMG_1495345034251.jpg
ya uislamu na namna Saud Arabia ilivyompa heshima ya hali ya juu hasa wengi wakiilinganisha na ziara ya Obama aliyoifanya mara ya mwisho akiwa madarakani.

Mambo yaliyoteka mijadala mitandaoni ni pamoja na
  • Heshima Trump anayoonekana kuipata kutoka kwa taifa la Saud Arabia kuanzia kwenye mapokezi ambayo Obama hakuwahi kuyapata.

  • Kitendo cha Trump kumuweka mwanamke kama translater wa mazungumzo yao na mtazamo wa Arab kuhusu uhusika wa wanawake katika masuala nyeti katika jamii.

  • Swala la Melanie Trump kutokuvaa head scarf kama ilivyozoeleka kwa Hillary Clinton, Condoleezza Rice na Michelle Obama pamoja na staff wao waliokua wakivaa head scarfs kuenzi utamaduni wa Arab

  • Msisimko wa mji wa Riadh katika ziara hii ya Donald Trump ambapo wananchi wa Saudia wameonekana kuvutiwa na kumpokea Mr President kwa upendo bila kujali misimamo ya Donald Trump kuhusu Uislamu ambayo ndio dini ya Saudis
 
kuvaa sijui vitu gani ilikua unafiki. yaani unavaa nje huku ndani unawaza mengine kabisa

bora kuwa kama hivyo tu.
 
Hiyo dangaya toto hao waarabu wanataka Donald Trump aizinishe Saudi Arabia wauziwe silaha za maangamizi yenye thamani ya Dola bilioni 100
 
Back
Top Bottom