aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,221
Mimi naomba kuuliza kama Tanzania tunajua kufuatilia maadui wa nchi au tunapoteza muda kufuatilia udaku na kuwaza ngono kila wakati.
Naamini hata raisi magufuli hajui kinachoendeea marekani wakati wamrekani wanajua mpka choo raisi anachokalia pale ikulu.
Nathani inafaa kuanza kuachana na siasa upuuzi au maji taka na kuwa na dira na ushikamano katika kupambana with that common enemy.
Ninavyoona kuna wabongo wengi wako kwenye payrol ya cia kutoa information nyingi tu za nchi na sio usa hata nchi jirani sababu ya rushwa.
kusema ukweli nachukia hii culture yetu ya waafrica au niseme kitanzania "dili na upigaji" natamani tuwe na adhabu ya kifo kwa wanaotoa na kupokea rushwa.
NB. Rwanda wanao informants kila nchi na wanafuatiliq watu wote wanaodeal nao mpaka senators marekani.
Killing C.I.A. Informants, China Crippled U.S. Spying Operations - The New York Times
Killing C.I.A. Informants, China Crippled U.S. Spying Operations (The New York Times)