babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
Madiwani nchini sweden wametaka serikali itoe muda wa saa moja tuu kila mwezi kwa ajili ya kufanya ngono, wakifafanua madiwani hao wamesema kuna wakati watu wanakuwa na stress sana hivyo kufanya ngono inafanya mtu kurefresh mind nakufanya mtu achangamke.
Vipi hili pendekezo lingeletwa kwenu member wa jf forum lingepita au mngeli ignore ?